Azam kufungua kesi,TFF kuipokonya Sumba magoli mawili ya offside na alama tatu

Hivi ile kesi ya uto na mamelodi uto walipewaga pwenti ..uto hamnaga akili.timu haina on target hata moja
 
Tanzania Refa ni mmoja tu!ARAJIGA!anajiamini, haogopi, na anafanya maamuzi magumu ya halali!ila wengine hawa ni wazembe/wala rushwa/waoga/hawana maamuzi halali!
 
andikaga vizuri na wewe mara sumba mara tumu ya azam
 
Hata wana Yanga wenzako wenye akili wanakushangaa. Maamuzi ya refa uwanjani ni ya mwisho. Hakuna point za mezani.
 
Unanitafuta ubaya mimi Sean Combs 'Puff Daddy'. Nina kesi ya kujibu ila wewe nawe unajilengesha. Sijui nikupake futa kabla sijafunguliwa lango la gereza?
 
Azam alistahili ushindi kwa kile kijishuti kimoja alichopiga dakika ya 87?
 
Kwanza hakuna kitu kama hicho,
Pili, hata wakipeleka malalamiko hayo wakasikilizwa na kushinda, atakayeadhibiwa ni mwamuzi, siyo Simba.
Labda kama wataituhumu Simba halafu wakathibitisha tuhuma zao kwa ushahidi usio na shaka.
Maamuzi hayawezi kuadilishwa!
 
Najua wabongo tuna ujinga…. Ila huu ni promax

Hata kupost tu haya mapupu ni insanity

N mtu mpumbavu sana anayeweza kuwaza huu upumbavu
 
Inaonesha hata kanuni za mpira wa miguu huzifahamu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…