Naamin hapo kwenye red utakuwa umeacha kitu kama mil. au bil. zaidi ya hapo hongera zao...wakianza kuonyesha ligi za nje hasa uingereza na mimi ntahamia azam ..
dola ngapi?????????? Are u kidding?
manji anaonaje wivuuuuuu...anataka kujiua
Ha ha ha ha kwamba manji anaona wivu kwani nae anashindana na bakhresa au???
Aisee jamaa spidi yao kali sana wataikamata africa muda si mrefu
already signed dude..Hongera sana Azam Media...
Ila hapo mpo kwenye ''Mchakato'' mngenyamaza kwanza..tuone vitendo.