Azam Kuidhamini Ligi kuu ya Uganda

Azam Kuidhamini Ligi kuu ya Uganda

Hongera sana Azam Media...

Ila hapo mpo kwenye ''Mchakato'' mngenyamaza kwanza..tuone vitendo.
 
AiseeMungu mwemaa walipigwaavitaa yaani kiramtu Natakakuhongwa kwenyefufa,,,wenginewakatakakwenda mahakamani basitu ujinga
 
Naamin hapo kwenye red utakuwa umeacha kitu kama mil. au bil. zaidi ya hapo hongera zao...wakianza kuonyesha ligi za nje hasa uingereza na mimi ntahamia azam ..

Mkuu Acha kumfariji mwenzio kabisaah hawezi kua bil hapo kamwe, ikizid saana ni Mil.
 
Kwa nini ligi daraja la kwanza inakosa wadhamini? Badala yake azam tv wanavuka mipaka wanaenda nje?
 
Back
Top Bottom