Azam kumtangaza kipa Mcomoro

Azam kumtangaza kipa Mcomoro

Mbabani

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2022
Posts
1,676
Reaction score
4,693
Anaitwa Ali Ahmada, amecheza vilabu kadhaa barani Ulaya ikiwemo Touluse ya Ufaransa.

Azam kama wapo siriazi hivi.

1657720948794.jpg
 
Usajili mzuri. Kigonya na mwenzake Salule walikuwa ni walinda mlango wa kawaida sana kuchezea timu kama Azam.
 
Akili zao kama uto kumbe, wanachukua watu wa ulaya
 
Ana kitambi bonge bonge. Hiyo picha ya zamani ila kwa kipa sio mbaya sana
 
Back
Top Bottom