Azam kuweni makini, Utopolo wamejaza waganga kibao Tanga, kazi mnayo jumatatu mkwakwani

Azam kuweni makini, Utopolo wamejaza waganga kibao Tanga, kazi mnayo jumatatu mkwakwani

Msiwaone wachezaji wa Utopolo wako dar wanashangilia ushindi Leo jumamosi wakat jumatatu wanacheza fainal na ninyi, wenzenu wanategemea sana mambo nje ya uwanja, hakuna kingine ni waganga tu, wale waganga wao mliowaomba wawasaidie kuwafunga Simba kule mtwara wamekuja nao Tanga na wanajua mambo yenu A to Z.

Nawashauri ongezeni zaid wataalamu, wenzenu wamewadharau sana kwa sababu haiwezekani wacheze fainal j3 halaf had ss hv wako jangwani wanashangilia ubingwa, wameshajihakikishia kuwakanda j3.

Lingine kuna watu wenu katika kampuni wanauza ishu, kila mnapocheza na utopolo wao wanawaeleza viongozi wa utopolo mambo yote mnayofanya, fukuzeni kazi baadhi ya watumishi, ni wasaliti.

Kama nabisha subirini jumatatu mtaona.
Stori za vijiwe vya kahawa
 
Upo sahihi, Mimi Kuna miaka ya hivi karibuni niliwahi kuwa na ushabiki kupitiliza ,
Basi Kuna mwanangu mmoja huwa tunaenda wote kutazama mpira kwenye Banda umiza, basi Mimi Yanga yeye Simba.

Basi mechi iliisha Simba kuibuka na ushindi wa goli tano , Emanuel Okwi akiwa kwenye kiwango bora.

Baada ya mechi kuisha nilienda kwenye gari nikaingia mchizi naye anataka kuzama kwenye gari kwakuwa tuliishi mtaa mmoja,hivyo anataka turudi wote kama tulivyokuja nikamzuia, nikamwambie aachane na Mimi na atafute usafiri mwingine.
Nimekasirika, nimefura ile mbaya.

Mchizi alishangaa sana, lakini Mimi nikakanyaga mafuta nikaishia,

Lakini usiku wa siku hiyo siku na amani kwa kitendo nilichomfanyia mchizi wangu, nilijuta sana, asubuhi nilienda kazini kiunyonge na nikijaribu kumpigia simu anakata, nikaamua kumuibukia nyumbani kwake, nakumbuka licha ya kujieleza na kuomba msamaha sana, lakini akawa mgumu , nikatumia busara nyingi sana hatimaye tukarudisha urafiki wetu, tangu hapo hii mipira nashabikia juujuu tu.
Ulionyesha uboya mkuu

Pole sana [emoji23][emoji23]
 
20230611_164459.jpg
 
Nasikia Azam wakishinda, basi club bingwa wataenda Yanga na Azam, alafu makolo wataenda kule wanapopaita kwa "loosers".

Maana club bingwa wanaenda mshindi wa ligi, na mshindi wa FA.

Makolo wanaitegemea Yanga!

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom