Azam Lager

Azam Lager

mkonowapaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
1,492
Reaction score
768
jana nimeonja kwa mara ya kwanza Azam-Malt

huyu mzee ni kiboko jamani!! ana vijana wanafikiria kama nn

maana kila mtu unamkuta njiani na mchupa wake wa malt aah anapata vitamin....

nafaham products zake zoote tunazifahamu hasa watu wa darisalama

mi nna wazo;kwa nn huyu mzee asitutengenezee na Lager rmx kabisaa?...kitu cha Azam-Ndovu,Azam-serengeti.Azam-Kili

kitu cha Azam-Redds ni mwendo wa mobile biere..tutakomaje?

imagine konda anauza Azam-Ndovu kkoo jua kaliii la sa 8...afu baridiii!!
 
Don't drink and......:A S 465:
 
Mzee namkubali pia, he has a midas touch,everything he touches turns into gold!
 
mzee kashika dini sama nadhani hawezi kuweka bidhaa za kilevi au zipo?
 
Mzee ni noma, anajua nini watu wanamisi, asilimia ya vyakula vingi navyokula saiz havikosi mkono wake
 
Mzee swala 5 hawezi kubali kutengeneza maji ya mende
 
Azam wapo juu sana...japo nina hakika yule mzee hawezi tengeneza bia
 
Wabongo haturidhiki mkuu,
Akiwatolea Azam-Ndovu mtaanza kudai pia na Azam-Konyagi, Azam-John Walker, Azam-Jack Daniel n.k.,
Wacha tu aishie hapohapo alipofikia!!
 
jana nimeonja kwa mara ya kwanza Azam-Malt

huyu mzee ni kiboko jamani!! ana vijana wanafikiria kama nn

maana kila mtu unamkuta njiani na mchupa wake wa malt aah anapata vitamin....

nafaham products zake zoote tunazifahamu hasa watu wa darisalama

mi nna wazo;kwa nn huyu mzee asitutengenezee na Lager rmx kabisaa?...kitu cha Azam-Ndovu,Azam-serengeti.Azam-Kili

kitu cha Azam-Redds ni mwendo wa mobile biere..tutakomaje?

imagine konda anauza Azam-Ndovu kkoo jua kaliii la sa 8...afu baridiii!!
Kaka mi tatizo langu kwenye ubora hizo bidhaa,sidhani kama kweli hizo anazoita Juice ni 100% juice na hata hizo malta sidhani kama kweli ni malta,pia hawezi kutengeneza ze laga kaka maadili yake ya dini hayamruhusu ingawa nahisi roho inamuuma kwani kwa alivyo na 'Nyota' ya kuuza bidhaa zake nina hakika hizo laga zake angeuza kama pipi ,lakini pia imekuwa bahati kwa kutotengeneza hizo laga (zingekuwa kwenye chupa za plastic )sasa wapiga debe ,makonda na maereva wao wangekuwa wanajinywea bila taabu ya kwenda kwenye bar kwani zingekuwa zinauzwa njiani kwenye vile vibaiskeli vya lambamba kwa bei ya sh 800,tungekuwa taifa la walevi wa Azam lager
 
hivi vitu vingine tunatumia basi tuu, jiulize hiyo malt yote inayotengeneza hivyo vinywaji ghafla inalimwa wapi, simple it is all about artificial flavouring, synthetization and the like

Niliinywa mwanzo kabisa, nikaacha,nilpohisi ni nyepesi nikasoma ingridients nikakuta kila kitu ni chemical hakuna cha malt wala nini ni flavour tu ya malt. Sikuzuii kunywa kama iko poa kwako.
 
bora bidhaa za azam zinakubalika hata across the boarders lakini zile takataka za Mohamed enterprises don't dare.
 
jana nimeonja kwa mara ya kwanza Azam-Malt

huyu mzee ni kiboko jamani!! ana vijana wanafikiria kama nn

maana kila mtu unamkuta njiani na mchupa wake wa malt aah anapata vitamin....

nafaham products zake zoote tunazifahamu hasa watu wa darisalama

mi nna wazo;kwa nn huyu mzee asitutengenezee na Lager rmx kabisaa?...kitu cha Azam-Ndovu,Azam-serengeti.Azam-Kili

kitu cha Azam-Redds ni mwendo wa mobile biere..tutakomaje?

imagine konda anauza Azam-Ndovu kkoo jua kaliii la sa 8...afu baridiii!!

Hawezi kulikubali ombi lako!!!
 
MMMmmmh...hapo kwenye quality ndo khaswaa pa kuanzia kabla hata hilo la kuongeza bidhaa sokoni halijafikiriwa.......hivi na yale maji ya kampuni hiyo ni treated, condensed au....
 
Leo nimepokea sms ikinitahadharisha kunywa MALTA ya Bakhresa.Ujumbe unasema angalia harufu yake,bei yake,ladha yake na povu lake.Vyote hivyo ni kama bia.
Mwenyewe sijawahi kuinywa kwani niliiogopa zamani.Hebu mliowahi kuonja ambao tangu hapo ni walevi tujuvyeni.
Lakini kama ni kweli najiuliza huyu babu ana uchu kiasi gani wa pesa mpaka atengeneze bia.Mikate,icecream na meli havimtoshi?.
 
Akitengeneza byerrrri da alafu akauza 900-1000/- mbona wateja wakumwaga??
 
Hizo ni fitina tu za kibiashara, Malta za Azam hazina kilevi, mi nimekunywa aina zote na situmii pombe so kama ingekuwa na kilevi ingenilewesha faster.
 
Back
Top Bottom