Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,772
- 8,939
nimesikia anampango wa kuanzisha azam redbull
Kaka ipo mtaani siku nyingi inaitwa AZAM EXTRA POWER
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimesikia anampango wa kuanzisha azam redbull
Kwani kuna kosa akitengeneza bia? Take what u deserve. To me naona azam wanatengeneza vitu kwa mahitaji ya watu na kwa gharama nafuu, of which each can afford to buy and comsume with diffenent package size (market niche). Jamani watanzania juani marketing strategies kama Azam
Kumbe ameanza zamani kutengeneza vitu vya aina hii eenh!.Mungu atamuona na timu zake za mpira.Kaka ipo mtaani siku nyingi inaitwa AZAM EXTRA POWER
:thinking:Mzee Bakheresa kiboko, ila sie tunajiuliza mbona hayuko kwenye top 5 ya walipaji kodi wakubwa nchini?!
Ukitaka kujua top 5 walipa kodi itabidi juwe angalau top 20 wenye utajiri Tanzania.:thinking:Mzee Bakheresa kiboko, ila sie tunajiuliza mbona hayuko kwenye top 5 ya walipaji kodi wakubwa nchini?!
Wabongo haturidhiki mkuu,
Akiwatolea Azam-Ndovu mtaanza kudai pia na Azam-Konyagi, Azam-John Walker, Azam-Jack Daniel n.k.,
Wacha tu aishie hapohapo alipofikia!!