mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,492
- 768
don't ......jasti in kesi......
Kaka mi tatizo langu kwenye ubora hizo bidhaa,sidhani kama kweli hizo anazoita Juice ni 100% juice na hata hizo malta sidhani kama kweli ni malta,pia hawezi kutengeneza ze laga kaka maadili yake ya dini hayamruhusu ingawa nahisi roho inamuuma kwani kwa alivyo na 'Nyota' ya kuuza bidhaa zake nina hakika hizo laga zake angeuza kama pipi ,lakini pia imekuwa bahati kwa kutotengeneza hizo laga (zingekuwa kwenye chupa za plastic )sasa wapiga debe ,makonda na maereva wao wangekuwa wanajinywea bila taabu ya kwenda kwenye bar kwani zingekuwa zinauzwa njiani kwenye vile vibaiskeli vya lambamba kwa bei ya sh 800,tungekuwa taifa la walevi wa Azam lagerjana nimeonja kwa mara ya kwanza Azam-Malt
huyu mzee ni kiboko jamani!! ana vijana wanafikiria kama nn
maana kila mtu unamkuta njiani na mchupa wake wa malt aah anapata vitamin....
nafaham products zake zoote tunazifahamu hasa watu wa darisalama
mi nna wazo;kwa nn huyu mzee asitutengenezee na Lager rmx kabisaa?...kitu cha Azam-Ndovu,Azam-serengeti.Azam-Kili
kitu cha Azam-Redds ni mwendo wa mobile biere..tutakomaje?
imagine konda anauza Azam-Ndovu kkoo jua kaliii la sa 8...afu baridiii!!
hivi vitu vingine tunatumia basi tuu, jiulize hiyo malt yote inayotengeneza hivyo vinywaji ghafla inalimwa wapi, simple it is all about artificial flavouring, synthetization and the like
jana nimeonja kwa mara ya kwanza Azam-Malt