Azam mabingwa kombe la mapinduzi

Azam mabingwa kombe la mapinduzi

Angalia pia na muda unaotumia kuzipata hizo mil 10 na hizo mil 80. Lakini kwani ni tatizo ukizipata 10 leo tena kwa muda mfupi halafu ukaja ukapata na hizo 80 baadaye?
Waafrika wengi huwa hatujui thamani ya muda. Hiyo mil.10 ina thamani kubwa zaidi ya mil.80 ukihesabu gharama za muda unaotumika
 
Nimekupata mdau.

Naomba maoni yako. Je lilikuwa jambo sahihi kumkatishia mkataba Omog? Au ndio itakuwa kama kosa walilo fanya Yanga kwa kumletea zengwe Babu Pluijm? Maana kule wenye akili washajua kiufundi babu alikuwa muhimu kwa Yanga kuliko Lwandamana.

Ni Kitendo cha ' Kipuuzi ' sana ambacho Simba SC ilifanya kumfukuza Kocha Joseph Marios Omog kwa kuwa tu tulifungwa na Timu ya Green Warriors ambao najua wanasimba wengi hatukujua kwamba hiyo Timu ni ya Bendi Koi pale Mwenge na Uwanja wao wa Mazoezi ni ule wa Vinyago na kwamba 99% ya Wachezaji wao ni wale ' Mafaza ' waliotemwa kutoka Timu ya JKT Ruvu ambao ni Wakongwe katika Ligi Kuu na hawakuwa Wageni kama ambavyo Watu wengi walidhani.

Ilikuwa ni lazima Simba SC tufungwe na Green Warriors kwani Simba SC tulianza mazoezi wiki mbili kabla ya mechi hiyo ya ASFC na hao Green Warriors ambao wao muda mrefu walikuwa tayari ' mashindanoni ' na wapo vizuri hasa ' Kifiziki ' na kama uliiangalia vizuri ile mechi utagundua kwamba Wachezaji wa Simba SC walizidiwa vitu vingi vya Kiufundi na Wachezaji wa Green Warriors.

Pili kuelekea mechi ile Wachezaji wa Simba SC hawakuwa na ' morale ' na hata Viongozi wakuu wa Timu hawakuwa karibu nayo kiasi kwamba kuna Wachezaji ' Waandamizi ' na Marafiki zangu kabisa wiki zile zile mbili ambazo walikuwa wakijiandaa na huo mchezo nilikuwa nakutana nao katika ' Masinagogi ' ( hapa namaanisha Nyumba za Starehe ) na Warembo wa mjini na kuna mmoja wao aliniambia kabisa kwamba ' mood ' zao kwa kipindi kile ilikuwa imekaa sana kwa Krismasi Krismasi.

Tatu ilikuwa ni ngumu kushinda mechi ile kwakuwa tayari Klabu ya Simba ilikuwa imeshaleta mgawanyo wa Makocha ambapo Kocha Omog alikuwa hathaminiwi na huyu Masoud Djuma ndiyo alikuwa akithaminiwa hali ambayo Kisaikolojia tu ilikuwa tayari ni hatari kwa Ustawi mzima wa Kikosi na wawili hao walikuwa wakivutana katika upangaji wa Kikosi siku ile.

Omog hakuwa na tatizo na Simba SC tumepoteza Kocha bora kwa Kipindi hiki ambaye itatuchukua muda mrefu kuja kumpata mbadala wake. Ni Mwendawazimu tu pekee ndiyo atasema Kocha Omog hakufaa na asingeifaa Simba SC wakati alipotutoa kila Mtu anajua na amefukuzwa Timu ikiwa inaongoza Ligi na bado pia ametupa Kikombe cha ASFC ambacho Simba SC tumekisotea kwa muda mrefu tu.

Yangu ni hayo Mkuu na nadhani nitakuwa nimekonga moyo wako japo kiasi.
 
Kweli wewe ni shabiki mwenye faida kwa Simba. Sio shabiki maandazi. Bahati mbaya viongozi wanafanya vitu kuwaridhisha shabiki mandazi wasiojua kitu. Wanaleta siasa ktk mambo ya soka ambayo ni sayansi fulani.

Vivyo hivyo kule upande wa pili kwenye mafuriko, walifanya jambo la kipuuzi sana kumbadilisha mtaalamu Babu Pluijm na mtu ambae viongozi wanaweza kumshurutisha kwenye mahamuzi. Babu ni fundi kuliko Lwandamana na hufuata sana kanuni na taratibu za ueledi ktk ukufunzi wa soka.
Kuna hatari Yanga nao wataishia kwenye ligi zetu za "HUMU HUMU" na kuishia kuwa "WA HAPA HAPA".

Jumapili njema, na maandalizi mema ya kumpokea Mh. Paul Kagame.
 
Ni Kitendo cha ' Kipuuzi ' sana ambacho Simba SC ilifanya kumfukuza Kocha Joseph Marios Omog kwa kuwa tu tulifungwa na Timu ya Green Warriors ambao najua wanasimba wengi hatukujua kwamba hiyo Timu ni ya Bendi Koi pale Mwenge na Uwanja wao wa Mazoezi ni ule wa Vinyago na kwamba 99% ya Wachezaji wao ni wale ' Mafaza ' waliotemwa kutoka Timu ya JKT Ruvu ambao ni Wakongwe katika Ligi Kuu na hawakuwa Wageni kama ambavyo Watu wengi walidhani.

Ilikuwa ni lazima Simba SC tufungwe na Green Warriors kwani Simba SC tulianza mazoezi wiki mbili kabla ya mechi hiyo ya ASFC na hao Green Warriors ambao wao muda mrefu walikuwa tayari ' mashindanoni ' na wapo vizuri hasa ' Kifiziki ' na kama uliiangalia vizuri ile mechi utagundua kwamba Wachezaji wa Simba SC walizidiwa vitu vingi vya Kiufundi na Wachezaji wa Green Warriors.

Pili kuelekea mechi ile Wachezaji wa Simba SC hawakuwa na ' morale ' na hata Viongozi wakuu wa Timu hawakuwa karibu nayo kiasi kwamba kuna Wachezaji ' Waandamizi ' na Marafiki zangu kabisa wiki zile zile mbili ambazo walikuwa wakijiandaa na huo mchezo nilikuwa nakutana nao katika ' Masinagogi ' ( hapa namaanisha Nyumba za Starehe ) na Warembo wa mjini na kuna mmoja wao aliniambia kabisa kwamba ' mood ' zao kwa kipindi kile ilikuwa imekaa sana kwa Krismasi Krismasi.

Tatu ilikuwa ni ngumu kushinda mechi ile kwakuwa tayari Klabu ya Simba ilikuwa imeshaleta mgawanyo wa Makocha ambapo Kocha Omog alikuwa hathaminiwi na huyu Masoud Djuma ndiyo alikuwa akithaminiwa hali ambayo Kisaikolojia tu ilikuwa tayari ni hatari kwa Ustawi mzima wa Kikosi na wawili hao walikuwa wakivutana katika upangaji wa Kikosi siku ile.

Omog hakuwa na tatizo na Simba SC tumepoteza Kocha bora kwa Kipindi hiki ambaye itatuchukua muda mrefu kuja kumpata mbadala wake. Ni Mwendawazimu tu pekee ndiyo atasema Kocha Omog hakufaa na asingeifaa Simba SC wakati alipotutoa kila Mtu anajua na amefukuzwa Timu ikiwa inaongoza Ligi na bado pia ametupa Kikombe cha ASFC ambacho Simba SC tumekisotea kwa muda mrefu tu.

Yangu ni hayo Mkuu na nadhani nitakuwa nimekonga moyo wako japo kiasi.
Lakini hata ukiwapongeza Azam kwa kutwaa ubingwa wa Mapinduzi Cup haitakuwa vibaya. Kuwa na spirit ya sportsmanship.
 
Bingwa anapata mil 10 wakat vpl bingwa anapata zaidi ya mil 80
Mil 10 kwa muda gani na hiyo Mil 80 kwa muda gani na kwa gharama gani ata hiyo Mil 80 wanaweza wakakosa ila watakuwa wametumia gharama kubwa pia tusidharau kitu kama tuna uwezo wa kukipata hasa within a short time. Tumeshindwa tukubali period
 
Back
Top Bottom