Azam Marine boresheni vyoo vilivyoko kwenye boti zenu za Unguja kwenda Pemba

Azam Marine boresheni vyoo vilivyoko kwenye boti zenu za Unguja kwenda Pemba

Boti za Dar-Unguja vyoo vyake ni classic. Sijui kwa vile wanapanda wazungu sanakwenda kutalii Unguja? Maana kutoka Unguja kwenda Pemba hakuna Mtalii anayekwenda huko
Why hawaendi Pemba kutalii
 
kwa asili wapemba hawatumii vyoo huwa wanakunya vichakani ndiomaana hivi karibuni smz ilikua inafanya kampeni kisiwa cha pemba kuhusu ujenzi na matumizi ya vyoo
 
Choo cha nini baharini??
Samaki watakula nini sasa hahaha
 
Km 125 ni masaa 2 or less kwa boat ila mtu anataka kwenda chooni. Hawa wataweza kusafiri Dar Mwanza?
Nina imani hujawahi kusafiri baina ya Unguja na Pemba. Ni masaa kama matatu kwa fast boats na matano mpaka sita kwa hizi za bei ndogo.

Halafu mkondo wa Nungwi ukikamata sawasawa unaweza jikuta unaharisha na kutapika bil ya huruma.
 
kwa asili wapemba hawatumii vyoo huwa wanakunya vichakani ndiomaana hivi karibuni smz ilikua inafanya kampeni kisiwa cha pemba kuhusu ujenzi na matumizi ya vyoo
Ha haa huwa tunasema chungu kinamcheka kikaango eti mweusi!
Sasa wewe ndiyo mfano wa hiyo. Huko kwenu maporini bara ndiyo hata kunawa kwa maji na sabuni tu basi shida.

Kwa taarifa yako hebu nenda Pemba ukaone kwanza siyo kujazana uongo tu humu.
 
Km 125 ni masaa 2 or less kwa boat ila mtu anataka kwenda chooni. Hawa wataweza kusafiri Dar Mwanza?
Kwanza hakuna boti inayokwenda pemba pili meli za kwenda pemba zote ni za taratibu sehemu ambayo boti hutumia dk 90 meli hutumia hata masaa manne na kutoka unguja kwenda pemba ni mbali kuliko kutoka unguja kuja dar. Pemba unguja azam sealink zinatumia masaa sita kwa Bandari ya Mkoani na Sea star inatumia masaa 8 mpaka bandari ya wete.
 
Km 125 ni masaa 2 or less kwa boat ila mtu anataka kwenda chooni. Hawa wataweza kusafiri Dar Mwanza?
Tatizo washavimbiwa mabiriyani wali jaa na,+ mayai ya kuchemsha hapo inakua ni kunya tu.
Wana kunya toka moro mpaka tanga wana kunya kunya tu.
Sasa sa ngapi choo kiwe kisafi.
 
Suluhisho ni kutengeneza kichaka cha miti ndani ya makopo kifanane na vichaka vya makwao wanavyotumia kujisaidia.
 
Back
Top Bottom