KERO Azam Marine: Kuna udalali wa tiketi na vyoo ni vichafu!

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Azam kwanini mmeruhusu biashara ya udalali wa tickets kushamiri. Je, mnajua kuna watu wanashirikiana na watu wenu wa ndani kujua taarifa kama tiket zimeisha kisha wananunua tuseme zimebaki 100, kisha wanaziuza kwa elfu 70 badala ya 35.

Pia Azam boresheni vyoo vyenu; vimechoka kama vyoo vya strendi ya mabasi ya Ubungo. Hamuweki tissue, mtatuletea magonjwa bure.

Vinginevyo niwapongeze wafanyakazi wa azam kwa kujituma kwa moyo wote
 
Kata ticket online uepuke usumbufu sio kila kitu cha kulalamikia
 
Kuhusu vyoo ni kwamba, waarabu, wasomari na hawa Wapemba wote huwa ni wachafu sana kwa asili
 
Azam kwanini mmeruhusu biashara ya udalali wa tickets kushamiri. Je, mnajua kuna watu wanashirikiana na watu wenu wa ndani kujua taarifa kama tiket zimeisha kisha wananunua tuseme zimebaki 100, kisha wanaziuza kwa elfu 70 badala ya 35.

Pia Azam boresheni vyoo vyenu; vimechoka kama vyoo vya strendi ya mabasi ya Ubungo. Hamuweki tissue, mtatuletea magonjwa bure.

Vinginevyo niwapongeze wafanyakazi wa azam kwa kujituma kwa moyo wote
Daah Mwana umetulipua, tutakufa njaa sasa.
 
Back
Top Bottom