Mwizukulu wa Buganda
Member
- Nov 19, 2024
- 94
- 307
KAMPUNI ya Azam Marine inatarajia kuzindua vivuko nane vya expres ambavyo ujenzi wake mpaka sasa umefikia asilimia 95 na vinatarajia kusafirisha abiria wanaovuka kwenda Kigamboni kwa haraka zaidi.
Mkurugenzi mtendaji wa kampuni hiyo, Aboubakar Aziz Salim amesema hayo wakati wa ukaguzi wa mwisho alipotembelea eneo la kukaa abiria na ujenzi wa boti hizo.
"Kila chombo kimoja kina uwezo wa kusafirisha mpaka abiria 1500 ndani ya saa moja," amesema Mkurugenzi huyo.
Pia soma