Azam Marine kushusha vivuko 8 Kigamboni

 Azam Marine kushusha vivuko 8 Kigamboni

Joined
Nov 19, 2024
Posts
94
Reaction score
307
KAMPUNI ya Azam Marine inatarajia kuzindua vivuko nane vya expres ambavyo ujenzi wake mpaka sasa umefikia asilimia 95 na vinatarajia kusafirisha abiria wanaovuka kwenda Kigamboni kwa haraka zaidi.

Mkurugenzi mtendaji wa kampuni hiyo, Aboubakar Aziz Salim amesema hayo wakati wa ukaguzi wa mwisho alipotembelea eneo la kukaa abiria na ujenzi wa boti hizo.

"Kila chombo kimoja kina uwezo wa kusafirisha mpaka abiria 1500 ndani ya saa moja," amesema Mkurugenzi huyo.

Pia soma
 
Nadhani havitabeba magari maana Serikali bado inataka magari yapite darajani ili waone kama watakusanya hela waliokopa toka NSSF. Hela iliyotengeneza daraja ishapatikana ila kwa sasa wanatafita hela walijikopesha Hawa viongozi wetu
 
Back
Top Bottom