Huu ni ukweli usipinge kwa mimi hili lilishanikuta mara mbili nikiwa hapa dar business class nimeshaipata kwa 45,000 na kwa siku natoka unguja niliweka oda mapema tu tena aliyeniwekea oda ni meneja wao ila kwa kuwa ni tabia sugu nilivyofika bandarini nikaelezwa kwa kuwa ni wewe itabidi ulipie VIP ila haikuwa nia niende VIP 50,000Mkuu sio kweli , mm nimesafiri sana zenji hizo habari nazisikia Leo kwako.
Mtakula jeuri yenu, mlikuwa mnatutesa sana siku za weekend na siku kuu.Madalali wa Tiketi za Azam tutakula wapi aisee.
Basi wewe utakuwa muongo moja wa kimatifa na labda ulikuwa unasafiri nje ya msimu na si weekend. Tofauti na hapo huna unachokijua kuhusu huu usafiriMkuu sio kweli , mm nimesafiri sana zenji hizo habari nazisikia Leo kwako.
Acha ubishi. Mwezi uliopita nilikuwa nakata tiketi ya boat ya saa 1 asubuhi. Yule jamaa wa dirishani akawa anauza tiketi za 25 kwa 60.Mkuu sio kweli , mm nimesafiri sana zenji hizo habari nazisikia Leo kwako.
Boat za Azam zinakimbia sana sema hawajaamua. Tofauti ya dakika 13 Azam alimuachia maana akifika kule akishusha lazima Zanzibar 1 atoe boat yake kwenye gati ili ipishe za Azam zipaki.Kwa sasa Azam anapitwa kama amesimama. wiki mbili zilizopita nilikua na safari ya Dar. baada ya kufika nikakaa boti ya saa moja kumbe na muda huo Zanzibar one ndo inaondoka. Nikajiingiza kwenye Azam, sisi tumeondoka saa moja kamili na Zanzibar one wameondoka saa moja daika 13. Kilichotokea wamefika mwanzo wao. wametupita na mabaharia wa azam walikua na uhakika kua tutapitwa. Turki anakimbiza sana saivi
Huu ni ukweli usipinge kwa mimi hili lilishanikuta mara mbili nikiwa hapa dar business class nimeshaipata kwa 45,000 na kwa siku natoka unguja niliweka oda mapema tu tena aliyeniwekea oda ni meneja wao ila kwa kuwa ni tabia sugu nilivyofika bandarini nikaelezwa kwa kuwa ni wewe itabidi ulipie VIP ila haikuwa nia niende VIP 50,000
Hahah aisee.Mtakula jeuri yenu, mlikuwa mnatutesa sana siku za weekend na siku kuu.
God save us
Nasikia Azam sasa hivi hali mbaya. Economy ni 20,000 badala ya 25,000.
Kuna chombo kinaitwa Zanzibar One hii ni noma inakimbia hatari, one hour Zanzibar to Dar es Salaam halafu chombo kimetulia sana.
View attachment 1418732
lafu mbaya zaidi Zanzibar One inamtanguliza atangulie kuondoka lakini inapitwa njiani.
usishindane na Azam Marine wako poa na wanajiamini
nimeshuhudia matukio mawili ya abiria kujirusha majini lk wale vijana wa Azam ni wepesi kutoa huduma za uokoaji
natafuta siku na mm nije nijaribu hiyo huduma yao
View attachment 1418802
Usilete udini wako na ubaguzi mada haihusiani na propaganda zakoMa-ustaadhi wakishaona tu umemtaja Bakhresa hua wanakuja fasta tu kumtetea,kama vile wana ubia nae.
Ticketi bei imepungua au ?Kwa sasa Azam anapitwa kama amesimama. wiki mbili zilizopita nilikua na safari ya Dar. baada ya kufika nikakaa boti ya saa moja kumbe na muda huo Zanzibar one ndo inaondoka. Nikajiingiza kwenye Azam, sisi tumeondoka saa moja kamili na Zanzibar one wameondoka saa moja daika 13. Kilichotokea wamefika mwanzo wao. wametupita na mabaharia wa azam walikua na uhakika kua tutapitwa. Turki anakimbiza sana saivi
Ni kweli anachokisema, mimi imenitokea mara 2.
Boti ya saa 10 jioni unafika saa 8 na nusu unaambiwa ticket hakuna, zipo za kurusha.