Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Mmmmmm lugha ni shule ? Wengine hawaenda hizo shule wako fluently hapo ni vipi ?? Kuna Dr na Prof lugha gongana ukimtoa nje uwanja aliosomea chalii..Azam Media mnatia aibu na sana, kampuni gani imeshindwa kupata Watangazaji wanaoijua vizuri lugha ya kiingereza?
Makocha wa kigeni wanapata taabu sana kusikia na kuelewq kinachosemwa ama kutamkwa na Watangazaji wa Azam Media.
Hii ni aibu, kampuni imejaa watu waliokimbia shule.
Probably na management imejaa vilaza, wahenga walinena 'birds of the 🪶 feathers flock together'Azam Media mnatia aibu na sana, kampuni gani imeshindwa kupata Watangazaji wanaoijua vizuri lugha ya kiingereza?
Makocha wa kigeni wanapata taabu sana kusikia na kuelewa kinachosemwa ama kutamkwa na Watangazaji wa Azam Media.
Hii ni aibu, kampuni imejaa watu waliokimbia shule.
Nakukatalia kwa Ushahidi Kuntu (Tukuka) wa Mtangazaji wa Kike ambaye nimemfundisha Mwenyewe Kozi aifanyayo mahala fulani mwaka 2010 hadi mwaka 2011 aitwae Fatma Abdallah Chikawe (Sports Lady) na hivi majuzi tu ametoka Kushinda Tuzo yake na ameshashinda nyingine mahala kuwa anajua Kiingereza hadi anakera na anawashinda hata Maprofesa wako unaowajua na Wasomi wengi nchini.Azam Media mnatia aibu na sana, kampuni gani imeshindwa kupata Watangazaji wanaoijua vizuri lugha ya kiingereza?
Makocha wa kigeni wanapata taabu sana kusikia na kuelewa kinachosemwa ama kutamkwa na Watangazaji wa Azam Media.
Hii ni aibu, kampuni imejaa watu waliokimbia shule.
Tatizo lako ukiona demu tu unapagawa hata kama hajui kizungu unamsifia tu hivyo hivyo!kasoro Hilda Phoya wangu, yeye anajua kiingereza.
View attachment 3138847
Jana alimuhoji mkurugenzi wa USAID Tanzania kwa kiingereza kizuri kabisa, ndani ya nusu saa nzima.
Mara nyingi mnaolalamika kuhusu kiingereza wenyewe kinawapiga chenga.
Tafuta yako weka wanaojua kiengerezaAzam Media mnatia aibu na sana, kampuni gani imeshindwa kupata Watangazaji wanaoijua vizuri lugha ya kiingereza?
Makocha wa kigeni wanapata taabu sana kusikia na kuelewa kinachosemwa ama kutamkwa na Watangazaji wa Azam Media.
Hii ni aibu, kampuni imejaa watu waliokimbia shule.
Azam Media mnatia aibu na sana, kampuni gani imeshindwa kupata Watangazaji wanaoijua vizuri lugha ya kiingereza?
Makocha wa kigeni wanapata taabu sana kusikia na kuelewa kinachosemwa ama kutamkwa na Watangazaji wa Azam Media.
Hii ni aibu, kampuni imejaa watu waliokimbia shule.
Trust me, she is fluent.Tatizo lako ukiona demu tu unapagawa hata kama hajui kizungu unamsifia tu hivyo hivyo!
Natafuta comment ya kusema wewe umejaa udini na chukiAzam Media mnatia aibu na sana, kampuni gani imeshindwa kupata Watangazaji wanaoijua vizuri lugha ya kiingereza?
Makocha wa kigeni wanapata taabu sana kusikia na kuelewa kinachosemwa ama kutamkwa na Watangazaji wa Azam Media.
Hii ni aibu, kampuni imejaa watu waliokimbia shule.