Azam Media aibu tupu. Watangazaji wake lugha ya Kiingereza ni sifuri, wanatia aibu Taifa la Tanzania

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Azam Media mnatia aibu sana, kampuni gani imeshindwa kupata Watangazaji wanaoijua vizuri lugha ya kiingereza?

Makocha wa kigeni wanapata taabu sana kusikia na kuelewa kinachosemwa ama kutamkwa na Watangazaji wa Azam Media.

Hii ni aibu, kampuni imejaa watu waliokimbia shule.
 
Azam Media mnatia aibu na sana, kampuni gani imeshindwa kupata Watangazaji wanaoijua vizuri lugha ya kiingereza?

Makocha wa kigeni wanapata taabu sana kusikia na kuelewq kinachosemwa ama kutamkwa na Watangazaji wa Azam Media.

Hii ni aibu, kampuni imejaa watu waliokimbia shule.
Mmmmmm lugha ni shule ? Wengine hawaenda hizo shule wako fluently hapo ni vipi ?? Kuna Dr na Prof lugha gongana ukimtoa nje uwanja aliosomea chalii..
 
Azam Media mnatia aibu na sana, kampuni gani imeshindwa kupata Watangazaji wanaoijua vizuri lugha ya kiingereza?

Makocha wa kigeni wanapata taabu sana kusikia na kuelewa kinachosemwa ama kutamkwa na Watangazaji wa Azam Media.

Hii ni aibu, kampuni imejaa watu waliokimbia shule.
Probably na management imejaa vilaza, wahenga walinena 'birds of the 🪶 feathers flock together'
 
Azam Media mnatia aibu na sana, kampuni gani imeshindwa kupata Watangazaji wanaoijua vizuri lugha ya kiingereza?

Makocha wa kigeni wanapata taabu sana kusikia na kuelewa kinachosemwa ama kutamkwa na Watangazaji wa Azam Media.

Hii ni aibu, kampuni imejaa watu waliokimbia shule.
Nakukatalia kwa Ushahidi Kuntu (Tukuka) wa Mtangazaji wa Kike ambaye nimemfundisha Mwenyewe Kozi aifanyayo mahala fulani mwaka 2010 hadi mwaka 2011 aitwae Fatma Abdallah Chikawe (Sports Lady) na hivi majuzi tu ametoka Kushinda Tuzo yake na ameshashinda nyingine mahala kuwa anajua Kiingereza hadi anakera na anawashinda hata Maprofesa wako unaowajua na Wasomi wengi nchini.

Mtangazaji wa Azam Media Mwadada Fatma Abdallah Chikawe anajua kuongea Kiingereza na Kukiandika vyema hadi raha. Mimi ni Mwalimu wake na kwa Kujiamini kabisa Nakuthibitishia hilo. Hata hivyo nakubaliana kuwa Watangazaji wengi wa Redio na Runinga nchini Tanzania wanachangamoto ya kuweza vizuri Kuwasiliana au Kuitumia hii Lugha ya Kiingereza.

Tena kama kuna Media ambayo sasa kwa Taarifa yako ndiyo ina Watangazaji wasiojua kabisa Kiingereza japo ukiwaona wanajifanya Wajanja na Wanajua ni wa IPP Media.
 
Sitetei kutokujua ila nauliza Wateja wao ni kina nani ?, Huenda issue sio kujua au kutokujua bali kutumia lugha ambayo haina ulazima kwa soko lao (after all its all about communication na kama kuna alternative au wanaeleweka basi tusonge mbele)
 
kasoro Hilda Phoya wangu, yeye anajua kiingereza.
1730270990148.png

Jana alimuhoji mkurugenzi wa USAID Tanzania kwa kiingereza kizuri kabisa, ndani ya nusu saa nzima.

Mara nyingi mnaolalamika kuhusu kiingereza wenyewe kinawapiga chenga.
 
Alokudanganya kuongea Kwa ufasaha lugha ya kigeni kwenye ardhi ya Tanzania Ni ufahari nani?
 
kasoro Hilda Phoya wangu, yeye anajua kiingereza.
View attachment 3138847

Jana alimuhoji mkurugenzi wa USAID Tanzania kwa kiingereza kizuri kabisa, ndani ya nusu saa nzima.

Mara nyingi mnaolalamika kuhusu kiingereza wenyewe kinawapiga chenga.
Tatizo lako ukiona demu tu unapagawa hata kama hajui kizungu unamsifia tu hivyo hivyo!
 
Azam Media mnatia aibu na sana, kampuni gani imeshindwa kupata Watangazaji wanaoijua vizuri lugha ya kiingereza?

Makocha wa kigeni wanapata taabu sana kusikia na kuelewa kinachosemwa ama kutamkwa na Watangazaji wa Azam Media.

Hii ni aibu, kampuni imejaa watu waliokimbia shule.
Tafuta yako weka wanaojua kiengereza
 
Azam Media mnatia aibu na sana, kampuni gani imeshindwa kupata Watangazaji wanaoijua vizuri lugha ya kiingereza?

Makocha wa kigeni wanapata taabu sana kusikia na kuelewa kinachosemwa ama kutamkwa na Watangazaji wa Azam Media.

Hii ni aibu, kampuni imejaa watu waliokimbia shule.

Kuna na yule rais wa awamu ilee au hata mawaziri fulani 2 ulikuwa na neno lolote kwao?

Mkuu bila kusahau kiingereza ni lugha tu kama kimasai tu ndugu.
 
Azam Media mnatia aibu na sana, kampuni gani imeshindwa kupata Watangazaji wanaoijua vizuri lugha ya kiingereza?

Makocha wa kigeni wanapata taabu sana kusikia na kuelewa kinachosemwa ama kutamkwa na Watangazaji wa Azam Media.

Hii ni aibu, kampuni imejaa watu waliokimbia shule.
Natafuta comment ya kusema wewe umejaa udini na chuki
 
Back
Top Bottom