Azam Media aibu tupu. Watangazaji wake lugha ya Kiingereza ni sifuri, wanatia aibu Taifa la Tanzania

Nikiwa nawaza marejesho kingee hakikuji.
 
Nimekuomba tu unisaidie maana hizo sentence nimejitahidi kuandika na kufuta hadi kikapatikana ukichokisoma😅😅😅😅😅😅😅
Mkifikia kuandika kipare nistue babe.
🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
 
Hosea mchopa kingereza kimenyooka sana ndie huwa anatumwa pale IST ku cover habari
"Eeeh how are you madame!?"
 
Sitetei kutokujua ila nauliza Wateja wao ni kina nani ?, Huenda issue sio kujua au kutokujua bali kutumia lugha ambayo haina ulazima kwa soko lao (after all its all about communication na kama kuna alternative au wanaeleweka basi tusonge mbele)
Shida hakuna sera nzuri ya elimu.... serikali ianzishe shule za mchepuo wa kiswahili Kutoka chekechea Hadi chuo kikuu. na shule za mchepuo wa kiingereza Kutoka nursery Hadi chuo kikuu.
 
Mkifikia kuandika kipare nistue babe.
🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
Hamna, kipare hukiwezi...
Labda tuanze na kijaluo!
 
Sio lazima mtangazaji ajue Kingereza kisa anamuhoji mtu anayejua tu kingereza,
Wanaweza kuajiri au hata kukodi Translators,hata huko mbele hua wanatumia hivyo kuwahoji makocha au wachezaji ambao hawajui Kingereza,

Mfano,ulishawahi kuona Messi anahojiwa kingereza kwenye tv? tupunguze kidogo hizi fikra za kitumwa.
 
Nakuonea Huruma sana kaka naona kipovu cha mdomo kinakutoka Kiengereza ndio nini wacha ujinga kwani tupo London apa eti makocha Maspain wanaongea lugha yao tu.
 
Shida hakuna sera nzuri ya elimu.... serikali ianzishe shule za mchepuo wa kiswahili Kutoka chekechea Hadi chuo kikuu. na shule za mchepuo wa kiingereza Kutoka nursery Hadi chuo kikuu.
Lugha ni kwa ajili ya communication tu hakuna cha zaidi, kwahio sio Kiswahili na Kingereza pekee kama mtu unao uwezo hata Kichina, Kifaransa na Kijerumani na lugha zote za Tanzania utajifunza au ukizifahamu ni bora zaidi..., Na hususan kama tasnia yako inahusu mawasiliano ni vema ukazijua (hilo lipo wazi)

Ila kama nina Kampuni yangu na ninataka watu wangu wawasiliane na wale ambao nataka wawafikishie habari, uchambuzi wa kitu husika na uelewa na uwezo wa kuwasiliana na hao walengwa kwangu mimi ni muhimu kuliko umahiri wa lugha ambayo kwa wengine haimo hata kwenye orodha ya lugha wanazoongea.., Kwahio hapa kujua soka / kuongea soka ni bora kuliko kutema yai....
 
Juzi nilifadhaika mno kusoma walichokiandika kuhusiana na mtemi MILAMBO.
Wao wakaandika Mirambo. Aibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…