Azam Media aibu tupu. Watangazaji wake lugha ya Kiingereza ni sifuri, wanatia aibu Taifa la Tanzania

Azam Media aibu tupu. Watangazaji wake lugha ya Kiingereza ni sifuri, wanatia aibu Taifa la Tanzania

Of course not all of them end with -est, but this one has to end with -est to make a correct sentence. I understand sometimes we mix american english with British english, yaani watu kila mtu anajiongelea anavyojua tu...
... Atoto nimechoka kuandika, njoo unifundishe my babez
Nikiwa nawaza marejesho kingee hakikuji.
 
Nimekuomba tu unisaidie maana hizo sentence nimejitahidi kuandika na kufuta hadi kikapatikana ukichokisoma😅😅😅😅😅😅😅
Mkifikia kuandika kipare nistue babe.
🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
 
Nakukatalia kwa Ushahidi Kuntu (Tukuka) wa Mtangazaji wa Kike ambaye nimemfundisha Mwenyewe Kozi aifanyayo mahala fulani mwaka 2010 hadi mwaka 2011 aitwae Fatma Abdallah Chikawe (Sports Lady) na hivi majuzi tu ametoka Kushinda Tuzo yake na ameshashinda nyingine mahala kuwa anajua Kiingereza hadi anakera na anawashinda hata Maprofesa wako unaowajua na Wasomi wengi nchini.

Mtangazaji wa Azam Media Mwadada Fatma Abdallah Chikawe anajua kuongea Kiingereza na Kukiandika vyema hadi raha. Mimi ni Mwalimu wake na kwa Kujiamini kabisa Nakuthibitishia hilo. Hata hivyo nakubaliana kuwa Watangazaji wengi wa Redio na Runinga nchini Tanzania wanachangamoto ya kuweza vizuri Kuwasiliana au Kuitumia hii Lugha ya Kiingereza.

Tena kama kuna Media ambayo sasa kwa Taarifa yako ndiyo ina Watangazaji wasiojua kabisa Kiingereza japo ukiwaona wanajifanya Wajanja na Wanajua ni wa IPP Media.
Hosea mchopa kingereza kimenyooka sana ndie huwa anatumwa pale IST ku cover habari
"Eeeh how are you madame!?"
 
Sitetei kutokujua ila nauliza Wateja wao ni kina nani ?, Huenda issue sio kujua au kutokujua bali kutumia lugha ambayo haina ulazima kwa soko lao (after all its all about communication na kama kuna alternative au wanaeleweka basi tusonge mbele)
Shida hakuna sera nzuri ya elimu.... serikali ianzishe shule za mchepuo wa kiswahili Kutoka chekechea Hadi chuo kikuu. na shule za mchepuo wa kiingereza Kutoka nursery Hadi chuo kikuu.
 
Sio lazima mtangazaji ajue Kingereza kisa anamuhoji mtu anayejua tu kingereza,
Wanaweza kuajiri au hata kukodi Translators,hata huko mbele hua wanatumia hivyo kuwahoji makocha au wachezaji ambao hawajui Kingereza,

Mfano,ulishawahi kuona Messi anahojiwa kingereza kwenye tv? tupunguze kidogo hizi fikra za kitumwa.
 
Azam Media mnatia aibu sana, kampuni gani imeshindwa kupata Watangazaji wanaoijua vizuri lugha ya kiingereza?

Makocha wa kigeni wanapata taabu sana kusikia na kuelewa kinachosemwa ama kutamkwa na Watangazaji wa Azam Media.

Hii ni aibu, kampuni imejaa watu waliokimbia sh
Nakuonea Huruma sana kaka naona kipovu cha mdomo kinakutoka Kiengereza ndio nini wacha ujinga kwani tupo London apa eti makocha Maspain wanaongea lugha yao tu.
 
Shida hakuna sera nzuri ya elimu.... serikali ianzishe shule za mchepuo wa kiswahili Kutoka chekechea Hadi chuo kikuu. na shule za mchepuo wa kiingereza Kutoka nursery Hadi chuo kikuu.
Lugha ni kwa ajili ya communication tu hakuna cha zaidi, kwahio sio Kiswahili na Kingereza pekee kama mtu unao uwezo hata Kichina, Kifaransa na Kijerumani na lugha zote za Tanzania utajifunza au ukizifahamu ni bora zaidi..., Na hususan kama tasnia yako inahusu mawasiliano ni vema ukazijua (hilo lipo wazi)

Ila kama nina Kampuni yangu na ninataka watu wangu wawasiliane na wale ambao nataka wawafikishie habari, uchambuzi wa kitu husika na uelewa na uwezo wa kuwasiliana na hao walengwa kwangu mimi ni muhimu kuliko umahiri wa lugha ambayo kwa wengine haimo hata kwenye orodha ya lugha wanazoongea.., Kwahio hapa kujua soka / kuongea soka ni bora kuliko kutema yai....
 
Azam Media mnatia aibu sana, kampuni gani imeshindwa kupata Watangazaji wanaoijua vizuri lugha ya kiingereza?

Makocha wa kigeni wanapata taabu sana kusikia na kuelewa kinachosemwa ama kutamkwa na Watangazaji wa Azam Media.

Hii ni aibu, kampuni imejaa watu waliokimbia shule.
Juzi nilifadhaika mno kusoma walichokiandika kuhusiana na mtemi MILAMBO.
Wao wakaandika Mirambo. Aibu.
 
Back
Top Bottom