Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aibu gan sasa wakat sio lugha yetu yaan pale bbc mtangazaji ashindwe kuongea kiswahili au aongee kishwahili kibovu waanze kumsema kua anatia aibu taifa kwa kuongea kiswahili kibovu stukeni acheni kujishushaAzam Media mnatia aibu sana, kampuni gani imeshindwa kupata Watangazaji wanaoijua vizuri lugha ya kiingereza?
Makocha wa kigeni wanapata taabu sana kusikia na kuelewa kinachosemwa ama kutamkwa na Watangazaji wa Azam Media.
Hii ni aibu, kampuni imejaa watu waliokimbia shule.
Bro umeenda mbali sana ku prove ujinga na ulimbukeni wa huyu jamaa. Tumuulize tu kingereza kinatusaidia nini huku mtaani sisi waafrika ? Ukoloni bado umejaa vichwani.Nakukatalia kwa Ushahidi Kuntu (Tukuka) .
Hayo maswali wanamuuliza nani na kwa lengo gani ? Mzungu akiulizwa swali inatusaidia nini sisi wakulima wa miti njombe ?Kutojua lugha ya kiingereza si tatizo.....ila kwa kutojua kwao wanashindwa kuuliza maswali ya maana
Tatizo ni kuingiza upendeleo mahali ulipaswa kuajiri mtaalamu wa lugha unaajiri shemeji yako.Azam Media mnatia aibu sana, kampuni gani imeshindwa kupata Watangazaji wanaoijua vizuri lugha ya kiingereza?
Makocha wa kigeni wanapata taabu sana kusikia na kuelewa kinachosemwa ama kutamkwa na Watangazaji wa Azam Media.
Hii ni aibu, kampuni imejaa watu waliokimbia shule.
Hata hao makocha English pia inawapa tabu wanaungaunga tu muhimu waeleweke, wewe sikiliza yale madash wewe jazia utaelewa. English sio lugha yetu, juzi sio umemuona Yamal kaulizwa kwa kizungu na Pogba bahati mbaya kile kidubwasha cha kutafsiria kikawa na shida akasema tu sijaelewa swali sababu English hajui wala sio aibu, watu wanajivunia lugha zao. Jibu kwako kutojuwa kizungu sio aibu kikubwa kazi yako unaijuwa. Yamal hajui English lakini uwanjani utajuwa shughuli yake. Messi miaka yote kabeba makombe huwezi kukuta hata clip moja anaongea English, hata kama anajuwa anajifanya hajui.Azam Media mnatia aibu sana, kampuni gani imeshindwa kupata Watangazaji wanaoijua vizuri lugha ya kiingereza?
Makocha wa kigeni wanapata taabu sana kusikia na kuelewa kinachosemwa ama kutamkwa na Watangazaji wa Azam Media.
Hii ni aibu, kampuni imejaa watu waliokimbia shule.
Haka Kabinti karembo, Huwa naangalia Morning Trumpet kwa ajili yake.kasoro Hilda Phoya wangu, yeye anajua kiingereza.
View attachment 3138847
Jana alimuhoji mkurugenzi wa USAID Tanzania kwa kiingereza kizuri kabisa, ndani ya nusu saa nzima.
Mara nyingi mnaolalamika kuhusu kiingereza wenyewe kinawapiga chenga.
Azam Media mnatia aibu sana, kampuni gani imeshindwa kupata Watangazaji wanaoijua vizuri lugha ya kiingereza?
Makocha wa kigeni wanapata taabu sana kusikia na kuelewa kinachosemwa ama kutamkwa na Watangazaji wa Azam Media.
Hii ni aibu, kampuni imejaa watu waliokimbia shule.
Nafikiri watangazaji ni kioo tuu kuakisi uhalisia wa watanzania wengi nikimaanisha namna walivyo ndivyo tulivyo.Nakukatalia kwa Ushahidi Kuntu (Tukuka) wa Mtangazaji wa Kike ambaye nimemfundisha Mwenyewe Kozi aifanyayo mahala fulani mwaka 2010 hadi mwaka 2011 aitwae Fatma Abdallah Chikawe (Sports Lady) na hivi majuzi tu ametoka Kushinda Tuzo yake na ameshashinda nyingine mahala kuwa anajua Kiingereza hadi anakera na anawashinda hata Maprofesa wako unaowajua na Wasomi wengi nchini.
Mtangazaji wa Azam Media Mwadada Fatma Abdallah Chikawe anajua kuongea Kiingereza na Kukiandika vyema hadi raha. Mimi ni Mwalimu wake na kwa Kujiamini kabisa Nakuthibitishia hilo. Hata hivyo nakubaliana kuwa Watangazaji wengi wa Redio na Runinga nchini Tanzania wanachangamoto ya kuweza vizuri Kuwasiliana au Kuitumia hii Lugha ya Kiingereza.
Tena kama kuna Media ambayo sasa kwa Taarifa yako ndiyo ina Watangazaji wasiojua kabisa Kiingereza japo ukiwaona wanajifanya Wajanja na Wanajua ni wa IPP Media.
Sio hao tu, tasnia nzima ya media, journalists, ni zero tupu, sio kwa, kimombo, hata upeo wa geopolitics issues, wasafi media, zembwela na kundi lake, huongelea ngono, kufumaniana, kuanzia asubuh saa 11!Azam Media mnatia aibu sana, kampuni gani imeshindwa kupata Watangazaji wanaoijua vizuri lugha ya kiingereza?
Makocha wa kigeni wanapata taabu sana kusikia na kuelewa kinachosemwa ama kutamkwa na Watangazaji wa Azam Media.
Hii ni aibu, kampuni imejaa watu waliokimbia shule.
Eti mulikuwa mkufunzi sehemu fulani labda mkufunzi wa lugha ya matusiNakukatalia kwa Ushahidi Kuntu (Tukuka) wa Mtangazaji wa Kike ambaye nimemfundisha Mwenyewe Kozi aifanyayo mahala fulani mwaka 2010 hadi mwaka 2011 aitwae Fatma Abdallah Chikawe (Sports Lady) na hivi majuzi tu ametoka Kushinda Tuzo yake na ameshashinda nyingine mahala kuwa anajua Kiingereza hadi anakera na anawashinda hata Maprofesa wako unaowajua na Wasomi wengi nchini.
Mtangazaji wa Azam Media Mwadada Fatma Abdallah Chikawe anajua kuongea Kiingereza na Kukiandika vyema hadi raha. Mimi ni Mwalimu wake na kwa Kujiamini kabisa Nakuthibitishia hilo. Hata hivyo nakubaliana kuwa Watangazaji wengi wa Redio na Runinga nchini Tanzania wanachangamoto ya kuweza vizuri Kuwasiliana au Kuitumia hii Lugha ya Kiingereza.
Tena kama kuna Media ambayo sasa kwa Taarifa yako ndiyo ina Watangazaji wasiojua kabisa Kiingereza japo ukiwaona wanajifanya Wajanja na Wanajua ni wa IPP Media.
Alitakiwa asemaje?Tatizo ni lugha au komfidensi ya kuongea ndio hawana ? Mfano utaskia anasema hivi hii hello coach congratulations for the game 😀😀😃😃😃😃
Simba bingwaAlitakiwa asemaje?