bahatibahati
Member
- Jul 4, 2023
- 44
- 84
Hiyo mfanyakazi wenu si muadilifu kwenye kazi yake, hasa anapochukua matukio ya picha Yanga inapocheza na timu nyingine.
Anachofanya ni kuipendelea Yanga kwa kuficha baadhi ya matukio yanayoibeba yanga.
Kwa mfano, alishindwa kurudia PICHA goli lilokuwa limefungwa na KENGOLD dhidi ya Yanga.
Aidha Simba inapocheza na yanga PICHA nyingi amekuwa akibase upande wa yanga kuanzia washabiki hadi uwanja I.