bahatibahati
Member
- Jul 4, 2023
- 44
- 84
Hapo ni crew nzima sasa!! Wachukua picha ni wengine na wanaochanganya ni wengine na kuturishia ikiwemo marudio ya matukio ni wengineHiyo mfanyakazi wenu SIYO muadilifu kwenye kazi yake hasa anapochukua matukio ya PICHA yanga inapocheza na timu NYENGINE.Anachofanya ni kuipendelea yanga kwa kuficha baadhi ya matukio yanayoibeba yanga. Kwa mfano alishindwa kurudia PICHA goli lilokuwa limefungwa na KENGOLD chidi ya yanga.
Aidha Simba inapocheza na yanga PICHA nyingi amekuwa akibase upande wa yanga kuanzia washabiki hadi uwanja I.
Uongeongelea na upungufu wa kamera ungekuwa umeongea kitu cha msingi.. Uwanjani kuna kosekana kamera muhimu. Jaribu kuwaza tu wangekuwa na kamera zile za nyuma ya goli ingekuwa inasaidia sana.Hiyo mfanyakazi wenu SIYO muadilifu kwenye kazi yake hasa anapochukua matukio ya PICHA yanga inapocheza na timu NYENGINE.Anachofanya ni kuipendelea yanga kwa kuficha baadhi ya matukio yanayoibeba yanga. Kwa mfano alishindwa kurudia PICHA goli lilokuwa limefungwa na KENGOLD chidi ya yanga.
Aidha Simba inapocheza na yanga PICHA nyingi amekuwa akibase upande wa yanga kuanzia washabiki hadi uwanja I.
Hakurudia vzur tukaonaHiyo mfanyakazi wenu SIYO muadilifu kwenye kazi yake hasa anapochukua matukio ya PICHA yanga inapocheza na timu NYENGINE.Anachofanya ni kuipendelea yanga kwa kuficha baadhi ya matukio yanayoibeba yanga. Kwa mfano alishindwa kurudia PICHA goli lilokuwa limefungwa na KENGOLD chidi ya yanga.
Aidha Simba inapocheza na yanga PICHA nyingi amekuwa akibase upande wa yanga kuanzia washabiki hadi uwanja I.
Yanga Bingwa.Hiyo mfanyakazi wenu SIYO muadilifu kwenye kazi yake hasa anapochukua matukio ya PICHA yanga inapocheza na timu NYENGINE.Anachofanya ni kuipendelea yanga kwa kuficha baadhi ya matukio yanayoibeba yanga. Kwa mfano alishindwa kurudia PICHA goli lilokuwa limefungwa na KENGOLD chidi ya yanga.
Aidha Simba inapocheza na yanga PICHA nyingi amekuwa akibase upande wa yanga kuanzia washabiki hadi uwanja I.
Kuna camera za nyuma ya goli na kuna camera za goli line. Kinachotakiwa hapo n camera za goli line na sio camera za nyuma ya goli mana hizo zipo tayari ila hawana camera za goli line.Uongeongelea na upungufu wa kamera ungekuwa umeongea kitu cha msingi.. Uwanjani kuna kosekana kamera muhimu. Jaribu kuwaza tu wangekuwa na kamera zile za nyuma ya goli ingekuwa inasaidia sana.
SawaKuna camera za nyuma ya goli na kuna camera za goli line. Kinachotakiwa hapo n camera za goli line na sio camera za nyuma ya goli mana hizo zipo tayari ila hawana camera za goli line.
Hiyo mfanyakazi wenu SIYO muadilifu kwenye kazi yake hasa anapochukua matukio ya PICHA yanga inapocheza na timu NYENGINE.Anachofanya ni kuipendelea yanga kwa kuficha baadhi ya matukio yanayoibeba yanga. Kwa mfano alishindwa kurudia PICHA goli lilokuwa limefungwa na KENGOLD chidi ya yanga.
Aidha Simba inapocheza na yanga PICHA nyingi amekuwa akibase upande wa yanga kuanzia washabiki hadi uwanja I.
SahihiKuna camera za nyuma ya goli na kuna camera za goli line. Kinachotakiwa hapo n camera za goli line na sio camera za nyuma ya goli mana hizo zipo tayari ila hawana camera za goli line.
Mwambie karia amfukuze elisasii na tatu malongo,tuanzie hapo kwanza alafu mengine yatafuata.Hiyo mfanyakazi wenu SIYO muadilifu kwenye kazi yake hasa anapochukua matukio ya PICHA yanga inapocheza na timu NYENGINE.Anachofanya ni kuipendelea yanga kwa kuficha baadhi ya matukio yanayoibeba yanga. Kwa mfano alishindwa kurudia PICHA goli lilokuwa limefungwa na KENGOLD chidi ya yanga.
Aidha Simba inapocheza na yanga PICHA nyingi amekuwa akibase upande wa yanga kuanzia washabiki hadi uwanja I.
Tripoli hawakupiga picha azamNilidhani naona peke yangu. Hata Ile game ya Simba na Ahly kule Tripoli alizingua sana