Azam Media fukuzeni anayechukua picha za matangazo ya mpira, u-Yanga umemzidi

Kala rushwa huyo
 
Azam ibebe Yanga, wewe huwajui vizuri wamiliki wa Azam maana mwenyewe ni mnazi lialia wa Kolo FC mpaka akaja kuwa mweka hazina wa club. Yanga ligi hii anashindana na timu mbili.
 
Azam ibebe Yanga, wewe huwajui vizuri wamiliki wa Azam maana mwenyewe ni mnazi lialia wa Kolo FC mpaka akaja kuwa mweka hazina wa club. Yanga ligi hii anashindana na timu mbili.
Timu mbili pamoja na body ya ligi, karia na kidau Yani administration yote pale karume.
 
Tangia afariki Mpiga Picha wao na aliyekuwa Jirani yangu Kawe Marehemu Idi Mambo, Azam Tv sasa wana Wapuuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…