Azam Media huyu Meena Ally aliye katika A List yenu ya Wachambuzi wa World Cup hii amechambua lini na wapi Mpira / Mipira?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,685
Reaction score
128,178
Ni mwana Simba SC mwenzangu lia lia ila katika Uchambuzi wa mpira sitaki kuwa Mnafiki au kumtetea kwakuwa ni Lunyasi mwenzangu ila si tu hajui bali hata Mpira wenyewe tu nao haujui.

Basi msingemtafutia Kitengo kingine tofauti no Yeye kuwa miongoni mwa Wachambuzi wenu wa Michuano ya Kombe la dunia linaloanza Kesho tarehe 11 Juni, 2026?
 
Basi kama labda ni Hawara ya Mmoja wenu hapo kwanini tu msingemtafutia Kitengo kingine tofauti no Yeye kuwa miongoni mwa Wachambuzi wenu wa Michuano ya Kombe la dunia linaloanza Kesho tarehe 11 Juni, 2026?
Genta hujambo,kwa taarifa nilizonazo huyo ni mchambuzi wa matukio maalumu,nafikiri atakuwa anaendesha vipindi maalumu vya kombe la dunia,na hivi sasa kuna mafunzo maalumu yanaendeshwa na wachambuzi wote wameshiriki pia studio zimekarabatiwa sana.Basi ngoja tuone
 
Ni mwana Simba SC mwenzangu lia lia ila katika Uchambuzi wa mpira sitaki kuwa Mnafiki au kumtetea kwakuwa ni Lunyasi mwenzangu ila si tu hajui bali hata Mpira wenyewe tu nao haujui.

Basi msingemtafutia Kitengo kingine tofauti no Yeye kuwa miongoni mwa Wachambuzi wenu wa Michuano ya Kombe la dunia linaloanza Kesho tarehe 11 Juni, 2026?
💯 Correct. Kuna uhuni unaangalia unabaki kujiuliza akili gani imetimia? MC kageuka mchambuzi wa soka?
 
Bongo ukisha kua maarufu tu basi utafanya chochote kile,uwe unakijua au hukijui,

Hushangai kuona Shilole nae hua anakua Jaji kwenye Bongo star search? mara utakuta Coy mzungu nae Jaji wa BSS,
Usije ukashangaa siku moja kuja kumuona Hamorapa anachambua vita ya Iran na US.
 
Ni mwana Simba SC mwenzangu lia lia ila katika Uchambuzi wa mpira sitaki kuwa Mnafiki au kumtetea kwakuwa ni Lunyasi mwenzangu ila si tu hajui bali hata Mpira wenyewe tu nao haujui.

Basi msingemtafutia Kitengo kingine tofauti no Yeye kuwa miongoni mwa Wachambuzi wenu wa Michuano ya Kombe la dunia linaloanza Kesho tarehe 11 Juni, 2026?
Kukosa heshima na hadhi ya uchambuzi, hasa kwa wenye taaluma za mambo ya mpira.
 
Nadhani ameenda kama mchambuzi! japo bado hajatushawishi kuwa na football personality ila ndio mambo ya liriki hayo! Hii ndio ile tunasema changamoto ni fursa!
 
Bongo nchi ya kihuni sana yaani yoyote anaweza kuwa yoyote popote ila bora usiwe na akili tu na kama unazo jifanye hauna maana wenye akili hawatakiwi kabisa nchi hii
 
Ni mwana Simba SC mwenzangu lia lia ila katika Uchambuzi wa mpira sitaki kuwa Mnafiki au kumtetea kwakuwa ni Lunyasi mwenzangu ila si tu hajui bali hata Mpira wenyewe tu nao haujui.

Basi msingemtafutia Kitengo kingine tofauti no Yeye kuwa miongoni mwa Wachambuzi wenu wa Michuano ya Kombe la dunia linaloanza Kesho tarehe 11 Juni, 2026?
Unapenda sana kukurupuka, umemuona leo kwenye kipindi alichopewa?
 
💯 Correct. Kuna uhuni unaangalia unabaki kujiuliza akili gani imetimia? MC kageuka mchambuzi wa soka?
Huyu atakuwa anaendesha mahojiano nje ya studio kuwauliza watu ambao ama wapo kwenye mabaa wakiangalia mpira,sio mchambuzi na hata wakati anatambulishwa walielezavwaziwazi kuwa ataendesha vioindi maalumu
 
Back
Top Bottom