Azam Media kuwazidi kete DStv?

Azam Media kuwazidi kete DStv?

Tresor Mandala

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2010
Posts
40,905
Reaction score
86,203
Leo nimeona katika moja ya magazeti kuwa Azam Media imefanikiwa kuwapiku DSTV yenye chanell za super sports amabazo ni maarufu kwa kuonesha mipira na michezo mbali mbali,,KATIKA TENDA ya KUONESHA LIGI KUU YA UGANDA

Awali ligi hii ilikua chini ya Udhamini wa Super Sports na sasa itakua chini ya AZAM MEDIA na hivyo ligi hiyo ya UGANDA itaitwa Azam Premier League....

Azam Media itaweza kuwazidi kete DSTV ktk ushindani huu?...
Kuna mtu alinitonya kuwa wanampango wa kupeleka maombi kwa ajili ya English Premier League...

SOURCES...
...https://www.facebook.com/azamtvtz
....aarifa.co.tz/2015/02/azam-kuidhamini-ligi-kuu-ya-uganda/

NB: Huu ni ushindani wa kibiashara na king'amuzi cha Azam kinaonekana kushika kasi tofauti na ving'amuzi vingine...
 
DSTV ni mkongwe , mzoefu na pia ana mtaji mrefu katika tasnia ya media wewe.....hivyo AZAM azidi kujipanga ili walau amfikie japo nusu,
kwani vinginevyo i sawa na kufafanisha ligi kuu ya kenya na ligi kuu England.
 
...leo nimeona katika moja ya magazeti kuwa Azam Media imefanikiwa kuwapiku DSTV yenye chanell za super sports amabazo ni maarufu kwa kuonesha mipira na michezo mbali mbali,,KATIKA TENDA ya KUONESHA LIGI KUU YA UGANDA

..Awali ligi hii ilikua chini ya Udhamini wa Super Sports...na sasa itakua chini ya AZAM MEDIA...nahivyo ligi hiyo ya UGANDA itaitwa Azam Premier League....

....Azam Media itaweza kuwazidi kete DSTV ktk ushindani huu?...
....kuna mtu alinitonya kuwa wanampango wa kupeleka maombi kwa ajiri ya English Premier League...

.....SOURCES...
...https://www.facebook.com/azamtvtz
....aarifa.co.tz/2015/02/azam-kuidhamini-ligi-kuu-ya-uganda/

NB...huu ni ushindani wa kibiashara na king'amuzi cha azam kinaonekana kushika kasi tofauti na ving'amuzi vingine...

Mkuu, shukran sana kwa kutuhabarisha. Binafsi nina wapongeza sana Azamtv kwa ubunifu wao wa vipindi vinavyolenga nchi hizi za ukanda huu na kujua uwezo wa wateja wao. Kwanza ni wao waliosababisha "wakongwe" kushusha bei ya huduma zao. Huwezi piga hesabu ya kiasi cha hela wakongwe hawa walitunyang'anya kwa kule kutawala kwao soko. Lakini hiyo imepita.

Furaha kubwa ni kule kujua kuwa Azamtv wana mpango wa kuingia soko la Africa Kusini. Hapo ni mechi ya kufa Mtu tena nyumbani kwa mkongwe.
 
...Ahsante na wewe...naona jamaa wanapita njia ile walioshindwa GTV ...ila azam media watakua wamejipanga vilivyo
 
Mi nadhani walichofanya azamtv kizuri ni kutafuta KWANZA bei ya huduma. Kisha wakaamua kuwa bei ndogo sio huduma hafifu. Waliowengi wanawapenda DSTV kwa LIGI YA UINGEREZA tu. Zipo program kama Nat. Geo. Wild na BBC series kama Entertainment, Knowledge etc ni za "Elite". Lakini bei ya DSTV bei ya kuiona Ligi ya Uingereza Live bei yake inajulikana.

Kwa bahati mbaya watazamaji wa tv nyumbani 80-90% ya muda wote ni dada zetu, wake zetu, mama zetu na wadogo zetu. Hawa kwa muda mwingi hawana haja ya Premier League, BBC Knowledge, wala History Channel. Na hawa ndio wanaowanyima DSTV usingizi. Kwa vile yale yoote wanayotaka kwa sasa yapo Azamtv. Hata kama una DSTV nguvu ya wadau hawa ni kwamba lazima uwaletee Azamtv, we kaa na Chelsea au Man U zako!!!!
 
Mkuu, kama mie ningekuwa mkuu wa Azam TV ningeachana kabisa na mipango ya kuonesha ligi ya England badala yake ningejikita kuonesha ligi za nchi za hapa hapa Africa ambazo naamini nyingi ni nzuri kuliko hiyo ya England. Uzuri wa ligi ya England unakuzwa na DSTV tu. Mifano ya ubovu wa ligi hiyo upo katika mashindano ya UEFA na FIFA.
 
mkuu umekunywa viroba au mikono imeteleza are u serious????????/
 
Mkuu, kama mie ningekuwa mkuu wa Azam TV ningeachana kabisa na mipango ya kuonesha ligi ya England badala yake ningejikita kuonesha ligi za nchi za hapa hapa Africa ambazo naamini nyingi ni nzuri kuliko hiyo ya England. Uzuri wa ligi ya England unakuzwa na DSTV tu. Mifano ya ubovu wa ligi hiyo upo katika mashindano ya UEFA na FIFA.

unasema mpaka rohoni au unafurahisha genge?
 
Azam Tv wakifanikiwa kuonyesha EPL, jamaa wa DSTv ama watashusha bei au wataondoka wenyewe Tz bila kufukuzwa. Nikiwa member wa timu ya Wanachi kale "kachuki" dhidi ya lambalamba katapungua kwa asilimia kubwa.
 
...leo nimeona katika moja ya magazeti kuwa Azam Media imefanikiwa kuwapiku DSTV yenye chanell za super sports amabazo ni maarufu kwa kuonesha mipira na michezo mbali mbali,,KATIKA TENDA ya KUONESHA LIGI KUU YA UGANDA

..Awali ligi hii ilikua chini ya Udhamini wa Super Sports...na sasa itakua chini ya AZAM MEDIA...nahivyo ligi hiyo ya UGANDA itaitwa Azam Premier League....

....Azam Media itaweza kuwazidi kete DSTV ktk ushindani huu?...
....kuna mtu alinitonya kuwa wanampango wa kupeleka maombi kwa ajiri ya English Premier League...

.....SOURCES...
...https://www.facebook.com/azamtvtz
....aarifa.co.tz/2015/02/azam-kuidhamini-ligi-kuu-ya-uganda/

NB...huu ni ushindani wa kibiashara na king'amuzi cha azam kinaonekana kushika kasi tofauti na ving'amuzi vingine...

SSB amekupa Shilingi ngapi ili uanzishe uzi huu?
 
Azam Tv wakifanikiwa kuonyesha EPL, jamaa wa DSTv ama watashusha bei au wataondoka wenyewe Tz bila kufukuzwa. Nikiwa member wa timu ya Wanachi kale "kachuki" dhidi ya lambalamba katapungua kwa asilimia kubwa.

Hakunaga kama DStv, Azam TV akajifie huko!
 
Mkuu, kama mie ningekuwa mkuu wa Azam TV ningeachana kabisa na mipango ya kuonesha ligi ya England badala yake ningejikita kuonesha ligi za nchi za hapa hapa Africa ambazo naamini nyingi ni nzuri kuliko hiyo ya England. Uzuri wa ligi ya England unakuzwa na DSTV tu. Mifano ya ubovu wa ligi hiyo upo katika mashindano ya UEFA na FIFA.

Aiseee!!!!
 
Kwa kweli umesema jambo la haki. Kila nikiangalia kwa mfano ligi ya Uholanzi (kwenye Fox Sports ya Azamtv), standard za mpira ni kubwa sana hata kuliko za huko England
 
Mi nadhani walichofanya azamtv kizuri ni kutafuta KWANZA bei ya huduma. Kisha wakaamua kuwa bei ndogo sio huduma hafifu. Waliowengi wanawapenda DSTV kwa LIGI YA UINGEREZA tu. Zipo program kama Nat. Geo. Wild na BBC series kama Entertainment, Knowledge etc ni za "Elite". Lakini bei ya DSTV bei ya kuiona Ligi ya Uingereza Live bei yake inajulikana.

Kwa bahati mbaya watazamaji wa tv nyumbani 80-90% ya muda wote ni dada zetu, wake zetu, mama zetu na wadogo zetu. Hawa kwa muda mwingi hawana haja ya Premier League, BBC Knowledge, wala History Channel. Na hawa ndio wanaowanyima DSTV usingizi. Kwa vile yale yoote wanayotaka kwa sasa yapo Azamtv. Hata kama una DSTV nguvu ya wadau hawa ni kwamba lazima uwaletee Azamtv, we kaa na Chelsea au Man U zako!!!!

We umemalliza kila kitu
 
Back
Top Bottom