Azam Media kuwazidi kete DStv?

Azam Media kuwazidi kete DStv?

mkuu umekunywa viroba au mikono imeteleza are u serious????????/
Mkuu, huo ndio ukweli ulivo. Ligi ya England haifurahishi uliiangalia nyumbani, ila inapendeza ukiwa bar na kwenye vibanda vya burudani.
 
Kwa kweli umesema jambo la haki. Kila nikiangalia kwa mfano ligi ya Uholanzi (kwenye Fox Sports ya Azamtv), standard za mpira ni kubwa sana hata kuliko za huko England
Mkuu, ni wachache sana wenye fikra sahihi kama wewe. Wengi wameisha lishwa sumu na DSTV walipoanza kuingia nchini mwetu.
 
Huyo anajifurahisha. Labda hasomi magazeti. Hata wenye mpira wao kule Brasil wanaangalia EPL. Ligi za Uganda, Kenya na sijui wapi nani anazitaka hapa Bongo? Ligi yetu na EPL ndio mambo yote.
Mtu makini hajikiti kwenye ligi moja tu hasa EPL. Hao hao huwa wanafuatilia sana ligi takriban zote na ndio maana wanasajiri wachezaji ambao kwetu huwasangaa wametokea wapi.
 
Mie natumia Azam na nawapongeza kwa hatua hiyo ila kazi bado in kubwa,nawashauri waoneshe ligi fulani kati ya zile 3 kubwa za Ulaya walau watuoneshe hata moja alafu kwa Africa waoneshe na ile ya Ghana na ama Congo DRC walau zina mvuto
 
mnazijua bei za kuonyesha epl live mechi zote? msikurupuke wakuu dstv wamejipanga. isije kua yale ya tbc kuonesha epl kwa wiki mechi moja game yenyewe unakuta ni ya relegation battle teams. tbc walihojiwa vipi kuhusu kuonyesha mechi zote wakadai expense zake itabidi nchi iuze mbuga ya wanyama every season!kwa izi ela za madafu wanazochaji azam, bakhresa akionyesha epl for ten consecutive seasons atarudi kwao uarabuni na ngalawa!
 
DST TV ni mkongwe , mzoefu na pia ana mtaji mrefu katika tasnia ya media wewe.....hivyo AZAM azidi kujipanga ili walau amfikie japo nusu,
kwani vinginevyo i sawa na kufafanisha ligi kuu ya kenya na ligi kuu England.

Azam ana pesa ya kutosha tu
 
Ila sio kuzidi investment ya DSTV katika tasnia ya habari hasa za michezo.
wale wame invest million of dollars na sio madafu ya Tsh. aliyoweka AZAM TV.

Million of dollars ikoje?

VPL & Uganda premier league au azam premier league kwa pamoja zimekula zaid ya $5mil , sio million of dollars ?

Azam ndio anaingia kwenye hii sector , Kama DSTV waliweza kwann yeye ashindwe? DSTV si walikuwepo Uganda? Nan kawaondoa kule kama sio Azam? , walishindwa hata Ku rename ile ligi , Jivunie cha nyumban
 
kumbe ndo waningia ...basi wasipige pige kelele na kujilinganisha na kaka zao kisa wameanza kubalehe na kuota vindevu malaika waanze kujilinganisha na kaka zao dstv wenye ndevu za chuma na kidevu kama ukoko wa bagia.
 
Last edited by a moderator:

Mfuko wa mmiliki wa Dstv na SSB hauna tofaut , utofaut n kwamba dstv imeanza 93 na azam mwaka Jana , haimzuii bakhresa kutanua wigo wake

Soko la tz taratibu analiweka mkonon , kavamia Uganda , kamumkimbiza dstv , next stop n Kenya atamkimbiza dstv tena , then matangazo ya mpira wa miguu ligi ya uingereza Africa mashariki yatakua chini yake , dstv hatokua na chake tena

Dstv kazikamata nch mbili tu baran Africa , South Africa na Nigeria pekee , nch nyngne zina wazawa wanatoa huduma , mwache Azam afunike
 
Ndoto za alinacha hizo mkuu.....
 
Ndoto za alinacha hizo mkuu.....

ndoto lkn si unaona? hv unajua DSTV ana subscribers wangapi?

dstv ina subscribers mil 7 tu , million 4.5 south Africa , mil 2.3 Nigeria , Hao lak 2 nch nygne , miaka 20 subscribers mil 7 ukubwa gan huo alio nao?

Miaka miwil au mitatu ijayo Azam itakua na subscribers kat ya 3 mil na 4 mil , au wewe ulikua unadhan Dstv wanahudumia Africa nzima? pale south pekee kashindwa

Mpe pongezi zake
 
DStv (Digital Satellite Television) is MultiChoice's digital satellite TV service in Africa, launched in 1995, providing various bouquets offering general entertainment, movies, lifestyle & culture, sport, documentaries, news & commerce, children, music, religion and consumer channels to MultiChoice subscribers. DStv has around 6.7 million customers[SUP][/SUP] with the majority being in South Africa (around 4.5 million) and Nigeria (around 2 million). These two markets are considered to be the most important markets for DStv, although markets such as Kenya, Uganda,Mauritius and Tanzania, though not having as many customers, are still considered crucial by DStv due to the growing number of customers in these countries.
 
Tena hata mil 7 kwa data zako hawafiki n 6.7 mil , hebu kubalini vya nyumban

Nikununulie king'amuz cha Azam?
 
mnazijua bei za kuonyesha epl live mechi zote? msikurupuke wakuu dstv wamejipanga. isije kua yale ya tbc kuonesha epl kwa wiki mechi moja game yenyewe unakuta ni ya relegation battle teams. tbc walihojiwa vipi kuhusu kuonyesha mechi zote wakadai expense zake itabidi nchi iuze mbuga ya wanyama every season!kwa izi ela za madafu wanazochaji azam, bakhresa akionyesha epl for ten consecutive seasons atarudi kwao uarabuni na ngalawa!

Hakuna kitu kama hicho, bein sports wanaonyesha hizo ligi zote tena kwa bei ndogo sana kwa nchi za middle east,na north Africa nchi ambazo kwanza hakuna wateja kama kwetu Africa, nchi ambazo zaidi wanapenda ligi ya Spain na Italy lakini wanaonyesha tena kwa ubora wa hali ya juu kabisa, huwezi kuwalinganisha na DSTV kwa kila kitu kuaniza ubora wa mitambo watangazaji hata studio za kisasa kabisa, azam anaweza sana DSTV anawanyonya mno, mbona GTV alimpiga bao sema hakuwa kajipanga tu
 
Nzi anajifananisha na nyuki vifaa vyenyewe vyakuonyesha vpl havina quality wataalamu wenyewe wakuendesha mitambo nao ni empty azam tv mtasubiri sana kuwakaribia dstv tena mkicheza mtafilisika.
 
Back
Top Bottom