Mpaka yondani anavyotema mate wanahailiti ahh wanaboa!,itoshe tu kusikia kuwa jamaa alikuwa kobra dimbani baassiii!!!OVERMkuu hawa jamaa wanaboa sana, unaingia u-tube kuchek mechi ilvokua unakutana na kitu kina dk 30, mzuka unaisha hapo hapo!
Dk 30 si karibia mechi nzima hio?