Azam media mnatia kichefuchefu! highlights dakika 30?

Azam media mnatia kichefuchefu! highlights dakika 30?

Mugare

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2016
Posts
669
Reaction score
846
Ni uwezo mdogo wa kukata vipande stahiki vya kuonesha, ni ushamba au ni nini?

Highlight ya mpira wa miguu u-tube haiwezi kuwa dk 30, 20 au hata 15, labda ka ni ya mieleka

Hivi unakaa nusu saa unatizama muhtasari wa mechi ya ligi ya bongo kwa lipi? mnatupotezea mda

Kama mmeshindwa muache tu siku mkiadvance mtafanya, ila kwa sasa hapana mnakera

Labda ka kuna manufaa mnapata kwa kufanya ziwe za muda mrefu namna ile
 
Si uwangalie match yote mkuu kama una muda

Kama hauna basi vumilia tu

Ila azam wako vizuri sana tena sana kwa kibongo kibongo lakini
 
Ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Mugare waambie hao wanakela kinoma
Mkuu hawa jamaa wanaboa sana, unaingia u-tube kuchek mechi ilvokua unakutana na kitu kina dk 30, mzuka unaisha hapo hapo!

Dk 30 si karibia mechi nzima hio?
 
Si uwangalie match yote mkuu kama una muda

Kama hauna basi vumilia tu

Ila azam wako vizuri sana tena sana kwa kibongo kibongo lakini
Sio kila mechi utatizama mkuu, nyingine inabidi uzitafute huko u-tube
 
Mkuu hawa jamaa wanaboa sana, unaingia u-tube kuchek mechi ilvokua unakutana na kitu kina dk 30, mzuka unaisha hapo hapo!

Dk 30 si karibia mechi nzima hio?
Mpaka yondani anavyotema mate wanahailiti ahh wanaboa!,itoshe tu kusikia kuwa jamaa alikuwa kobra dimbani baassiii!!!OVER
 
Back
Top Bottom