OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Habari wakuu,
Wale wapenzi wa mpira kuna wakati unatizama mechi za NBCPL unashangaa wachezaji wanashangilia goli, unajiuliza wamefunga saa ngapi na wwmefungaje fungaje!
Unasubiri replay, napo unaona video nzuri lakini wachezaji wanaonekana kama sisimizi huwatambui vizuri licha ya kuwa unamiliki TV inch 72 full HD😡
Mfano goli la Selebwenzi alofungia kati kati ya uwanja, goli la Dogo wa KMC akiwafunga Yanga, Goli la Sowah akiwafunga yanga , Tukio la jana la mchezaji wa Namungo kupigwa Red card ile video replay hata haieleweki slow motion yenyewe haieleweki mpaka mtizamaji unashindwa kujua kinachoendelea mpaka tuanze kuulizana, mbaya zaidi wachambuzi wa makao makuu nao ile replay hawaioni vizuri bsdala yake inawabidi watumie akili ya kuzaliwa waanze kuchambua kwa kutumia body language kuwa mchezaji kaweka mikono kichwani maana yake anajua alichokifanya hapa ilitakiwa Azam media mtuonyeshe tukio kwa usahihi
Yaani video replay na live footage haionyeshi kwa ukaribu, video zinakua ndogo wachezaji kama sisimizi, replay yenyewe haieleweki
Licha ya kuwa na vifaa bora nadhani shida ipo kwa watu wanaovitumia hivyo vifaa
Tizama hapa umbali ambao camera zimewekwa na hawa wataalam
Hapo ukifikiria vizuri hawa watu watakuwa na shida ya macho huenda wanaugonjwa wa kutokuona vitu vya karibu
Au pengine hawafikirii vizuri aoutput ya video na ukubwa wa wachezaji kwenye TV
Ile crew inayo kaa kwenye lile bus la kuchanganya picha na Director wake hivi huwa haoni huu utumbo?
Tunalipia elfu 28 kwa mwezi lakini hawatutendei haki watazamaji
Mzee bakhresa, Yusuph Bakrehsa kama utaupata huu ujumbe tunaomba uufanyie kazi hili jambo
Nawasilisha.