Morning Glory1
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 237
- 381
Azam media na NBC bank inamana bado hamjaliona hili...ukiangalia mechi ya leo ya simba na namungo jinsi refa halivyoboronga mechi hakuna mtanzania atakaetamani kulipia 28,000 yake kuangalia uozo kama huu unaoendelea kwenye ligi yetu
Refa anatoa kadi nyekundu ambayo haieleweki...refa ametoa penati tatu kwa simba ambazo zilikua nyepesi sana...maamuzi mabovu uwanjani halafu leo Azam media unawezaje kumshawishi mteja kulipia 28,000 yake kuangalia uchafu kama huu.
100% ya ligi yetu imejaa viashiria vya wazi vya rushwa.AZAM MEDIA na NBC mmeweka pesa zenu nyingi sana lakini ubora wa ligi unazidi kushuka kila siku.Bodi ya ligi haina meno na kamati ya waamuzi hakuna cha maana inachokifanya.
Mimi binafsi nimeanza kujuta kwanini niliamua kuichagua Azam dhidi ya visimbuzi vingine na siwezi kuendelea kuvumilia kuangalia huu uchafu ni bora niuze kisimbuzi changu kama hatua za haraka hazitachukuliwa
Ni watu wa mpira peke yao ndo watakubaliana na mm ila mashabiki maandazi lazima watapingana na mimi