Azam media na NBC amkeni kwenye usingizi. TFF, bodi ya ligi na kamati ya waamuzi inawaharibia biashara

Azam media na NBC bank inamana bado hamjaliona hili...ukiangalia mechi ya leo ya simba na namungo jinsi refa halivyoboronga mechi hakuna mtanzania atakaetamani kulipia 28,000 yake kuangalia uozo kama huu unaoendelea kwenye ligi yetu

Refa anatoa kadi nyekundu ambayo haieleweki...refa ametoa penati tatu kwa simba ambazo zilikua nyepesi sana...maamuzi mabovu uwanjani halafu leo Azam media unawezaje kumshawishi mteja kulipia 28,000 yake kuangalia uchafu kama huu.

100% ya ligi yetu imejaa viashiria vya wazi vya rushwa.AZAM MEDIA na NBC mmeweka pesa zenu nyingi sana lakini ubora wa ligi unazidi kushuka kila siku.Bodi ya ligi haina meno na kamati ya waamuzi hakuna cha maana inachokifanya.

Mimi binafsi nimeanza kujuta kwanini niliamua kuichagua Azam dhidi ya visimbuzi vingine na siwezi kuendelea kuvumilia kuangalia huu uchafu ni bora niuze kisimbuzi changu kama hatua za haraka hazitachukuliwa

Ni watu wa mpira peke yao ndo watakubaliana na mm ila mashabiki maandazi lazima watapingana na mimi
Mimi litmu langu la Chelsea linazingua nkahamia nyumban naona napo sasa nakosa ladha uhuni umetawala🚮🚮🚮
 
Nimeanza kuwaelewa waliokua wanaifananisha AZAMtv na DSTV...watu wa DSTV mnaenjoy sana boli sisi uku ni mauzazuza...nimetangaza kuuza kisimbuzi changu rasmi tena kwa bei ya kutupa siwezi kuvumilia kuendelea kuangalia uchafu
Labda uuze 2k, au wauzie wanunuzi wa chuma chakavu
 
Sijui mnapata wapi nguvu ya kuangalia ligi ambayo wamacheza kama watoto wa nursery
Haijawahi kuwa ujanja kukandia vya nyumbani huku ukikumbatia vya nje. Miaka hiyo ligi bora duniani ilikua Brazil lakini Spain, England na wengine hapo Ulaya hawakutelekeza ligi zao.

Tunachoweza kufanya ni kuendelea kukosoa ili maboresho yafanyike tuweze kupata kitu bora.

Nikikumbuka tulikotoka na hapa tulipofika naamini ukosoaji umesaidia sana.

Ila sio Ujanja kubeza vya nyumbani.
 
Hayo yatapita. Maluwe luwe kwenye hii ligi hayajaanza leo. Nyinyi mashabiki maandazi mnapiga kelele endapo tu timu zilizofaidika na maamuzi mabovu sio zile mnazoshabikia. TFF wanawaacha tu mpige makelele wanajua mtanyamaza tu matimu yenu yakifaidika na ujinga.Ligi ya hovyo hii na wasipoangalia itakuwa kama bongo movie
Ulichosema ndio ninachosema kila siku humu jukwaani.

Hatuwezi kumaliza tatizo la uamuzi mbovu kama yakiifadidha timu yako unachekelea na unatoa lugha za kebehi kama "basi tukupe filimbi wewe."

Kuna siku nlikua nacheki mpira mahali fulani sasa maamuzi ya refa yakawa sio sahihi akionekana wazi kuipendelea ile timu inayocheza na moja ya timu za Kariakoo.

Sasa kuna jamaa pembeni anachekelea, wenzake wakilalamika anawajibu "REFA KASOMEA HUYO". Siku ya pili timu yake inacheza na refa mizinguo kama wa jana. Kumbe Wahifidhina wameyaweka moyoni mambo ya jana yale. Jamaa kila akilalamika ukumbi mzima unamjibu "KASOMEA HUYOOO."
 
Vipi refa alikuwa sahihi kukubali goli la mkono la Yanga
 
Ila unataka waendelee kuonyesha fixed match Kama ya yanga na Singida ambayo hata. Wachambuzi wa Azam waliishangaa.
 
Acha tu hao simba wabebwe Maana angalau hata wakienda huko kimataifa wanatuwakilisha vizuri. Sasa hizi timu zetu nyingine hata tukisema zisionewe hata zikienda kwenye mashindano ya CAF ni mechi Moja tu tayari zinaondoshwa na kurudi na kuliacha taifa katika aibu kubwa.
 
Azam media na NBC bank inamana bado hamjaliona hili...ukiangalia mechi ya leo ya simba na namungo jinsi refa halivyoboronga mechi hakuna mtanzania atakaetamani kulipia 28,000 yake kuangalia uozo kama huu unaoendelea kwenye ligi yetu

Refa anatoa kadi nyekundu ambayo haieleweki...refa ametoa penati tatu kwa simba ambazo zilikua nyepesi sana...maamuzi mabovu uwanjani halafu leo Azam media unawezaje kumshawishi mteja kulipia 28,000 yake kuangalia uchafu kama huu.

100% ya ligi yetu imejaa viashiria vya wazi vya rushwa.AZAM MEDIA na NBC mmeweka pesa zenu nyingi sana lakini ubora wa ligi unazidi kushuka kila siku.Bodi ya ligi haina meno na kamati ya waamuzi hakuna cha maana inachokifanya.

Mimi binafsi nimeanza kujuta kwanini niliamua kuichagua Azam dhidi ya visimbuzi vingine na siwezi kuendelea kuvumilia kuangalia huu uchafu ni bora niuze kisimbuzi changu kama hatua za haraka hazitachukuliwa

Ni watu wa mpira peke yao ndo watakubaliana na mm ila mashabiki maandazi lazima watapingana na mimi
Hatutakuwa tunaangalia live
 
Tutakuwa tunasikiliza redio kama zamani gani

Nadhani tatizo ni TFF, tuweke wanajeshi, refa akibolonga anaanza kuruka kuchurachura hadi HQ
 
Sasa tunaanza kuongea lugha moja sasa, yani umeamka usingizini na bado hayajakukuta ya waamuzi kama KAYOKO.... Aseee sikia kwa jirani tu maamuzi ya KAYOKO yanakera et
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Acha tu hao simba wabebwe Maana angalau hata wakienda huko kimataifa wanatuwakilisha vizuri. Sasa hizi timu zetu nyingine hata tukisema zisionewe hata zikienda kwenye mashindano ya CAF ni mechi Moja tu tayari zinaondoshwa na kurudi na kuliacha taifa katika aibu kubwa.
Usajili huwa ni mbovu wenzetu wanasajili haswa sisi aliye turoga kafa
 
Azam media na NBC bank inamana bado hamjaliona hili...ukiangalia mechi ya leo ya simba na namungo jinsi refa halivyoboronga mechi hakuna mtanzania atakaetamani kulipia 28,000 yake kuangalia uozo kama huu unaoendelea kwenye ligi yetu

Refa anatoa kadi nyekundu ambayo haieleweki...refa ametoa penati tatu kwa simba ambazo zilikua nyepesi sana...maamuzi mabovu uwanjani halafu leo Azam media unawezaje kumshawishi mteja kulipia 28,000 yake kuangalia uchafu kama huu.

100% ya ligi yetu imejaa viashiria vya wazi vya rushwa.AZAM MEDIA na NBC mmeweka pesa zenu nyingi sana lakini ubora wa ligi unazidi kushuka kila siku.Bodi ya ligi haina meno na kamati ya waamuzi hakuna cha maana inachokifanya.

Mimi binafsi nimeanza kujuta kwanini niliamua kuichagua Azam dhidi ya visimbuzi vingine na siwezi kuendelea kuvumilia kuangalia huu uchafu ni bora niuze kisimbuzi changu kama hatua za haraka hazitachukuliwa

Ni watu wa mpira peke yao ndo watakubaliana na mm ila mashabiki maandazi lazima watapingana na mimi
Hela ya bundle la simu yenyewe unapewa na shemeji yako,utaweza kulipia kifurushi cha Azam?
Omba 500/= ukaangalie kupitia vibanda umiza

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom