Usiwalalamikie Azam,jitafakari mwenyewe we ni shabiki wa aina gani timu yako ikicheza mida fulani huwezi kwenda kuingalia?
Saa moja sio usiku wa kushindwa kwenda na familia taifa kuangalia mpira
Kuna mashabiki maarufu wa Yanga na Simba timu zao ziende popote wakati wowote na wao wapo si sikukuu si mchana/usiku si mvua/jua
Azam anajua udhaifu wenu ndo maana anawakomesha,shabiki wa mpira hutakiwi kuhoji vitu vya ovyo km ivyo,kama kweli we shabiki wa mpira utaenda uwanja any time.Mtu mzima kila siku kwake inaweza kuwa sikukuu hizi Christmas,mwaka mpya na Eid waachieni watoto.
Siku Azam Media wakizuia mashabiki wasiende viwanjani ndo tutaunga mkono hizi hoja lkn hakuna namna ambayo Azam wamekuzuia usiende uwanjani ni wewe tu kwamba sio shabiki kweli wa timu yako na mpira kwa ujumla
WACHA AZAM WATUMIE UDHAIFU WENU MASHABIKI KUTENGENEZA PESA KUPITIA VING'AMUZI.NO EXCUSE SAA MOJA UNAANGALIA YANGA TAIFA SAA TATU NDO MIDA MIZURI YA KWENDA BATANI AU KULALA