Azam Media na TFF mnahujumu soka letu

Akili yako ndogo sana. Mtoa ameainisha vzr sana makundi ambayo yanaathirika na muda huo wa usiku. Msome tena pengine akili yako itafunguka
 
Chunguza vzuri ratiba ya Mechi kipindi cha nyuma siyo kama sasa. Kwa sasa Mechi inaaanza saaa 3 usiku zamani ilikuwa hivyo?? Unadhan Wale maafisa Masoko wa Azam Media unalingana nao uwezo wa kufikiri Mkuu. Huwezi jua kile wamelenga kwa upeo wako wewe
miaka 20 nyuma Azam hakuwepo.
CLUB zilikuwa zinaingiza kiasi gani kupitia mapato ya uwanjani?
na je mpaka Sasa club zimefaidika vipi na viingilio wakati azam hakuwepo?
 
Hawalali ndio mana wanakabana na kubakana muda wowote kuanzia saa moja usiku
 
Hawalali ndio mana wanakabana na kubakana muda wowote kuanzia saa moja usiku
Asa kwanini mchana wasifanye hayo? Watu wa kutoa msaada wanakuwa wapi kuanzia saa moja usiku?
 
Wadau hili suala la Azam kubaka ratiba ya NBC PREMIER LEAGUE naona limestua wadau wameanza kufikiria pia warusha matangazo ya Ligi kuwa zaidi ya media moja ili kuondoa huu Ubabaishaji wa Azam Media
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…