Nyingi tu Azam hawaonyeshi lakini naona watu wamekaa kimya, msimu ujao wapigwe chini tu wapewe DSTVMkataba wa Azam na TFF unasema Azam TV lazima aonyeshe mechi zote,ni mechi ngapi ambazo zilihairishwa na bado zilionyeshwa na Azam TV
Sababu ya game ya Kagera kutoonyeshwa wanadai haikuwa kwenye ratiba sio hizo sababu unazoandika wewe,ni mechi ngapi hazikuwa kwenye ratiba na zimeonyeshwa ?
Be serious mechi za Liga zinachezwa usiku sio mchana so hicho sio kisingizio hakina na sidhani kama kuna watanzania wamelipia Azam ili waangalie game za URA au PRKutokuwa kwenye ratiba kunatokana na hizo sababi hapo juu... Nilizo zitanabaisha!
Hawawezi wakaiweka game kaa ile kwenye ratiba yao wakati hapo hapo LaLiga Atletico anacheza na Sevilla.. Au APR anacheza na Marine FC.
huuu ndio utetezi wa kutokwenda hata kurekodi match husika?Kutokuwa kwenye ratiba kunatokana na hizo sababi hapo juu... Nilizo zitanabaisha!
Hawawezi wakaiweka game kaa ile kwenye ratiba yao wakati hapo hapo LaLiga Atletico anacheza na Sevilla.. Au APR anacheza na Marine FC.
Mimi nafikiri hapa tatizo tuwalaumu TFF kwa kuto kuwa na kumbukumbu... AZAM mpaka hapa walicho kifanya kwa soka letu Azam kwa pesa waliyo itoa ina endana na soka letu...Wana jf wasalaam.
Toka mwanzo wa saktata la card tatu za mchezaji wa kagera nimekuwa nikijiuliza ni nani walikuwa wana dhamana ya kuhakikisha wanaondoa utata kwenye swala hili? Lakini jibu lilikuja haraka kwamba ni TTF na Azam media...
Kuna maswali mengi watu hujiuliza ikiwa Azam media hawana uwezo wa kuonesha game zote za ligi kuu kwanini wapewe wao pekee dhamana ya kuonesha mechi zote na wanashindwa kuonesha mechi zot? Nilitegemea kuona makampuni zaidi ya kipewa tenda ya kuonesha ligi na wagawane match za kuonesha na hili ndio lingekuwa suluhu la maneno oooh match haikuoneshwa oooh match haikurekodiwa...
Katika hili mimi ndio naona pengine TFF ya malinzi inafanya makosa yanayopelekea kulivuruga soka letu na ninategemea kuwe na uwajibikaji maana ni wazi hili swala limefanywa kwa msalai yao binafsi....kulikuwa hakuna sababu ya kumpa mtu mmoja tenda ya kuonesha mpira ikiwa hatoonesha match zote.....kwanini asingelipewa mwingine? je ni yeye pekee aliomba tenda?
Leo sakata la card limefanya mpira wetu kuvurugika kabisa na kuzua sintofahamu wakati tulitegemea watu kama Azam media na TFF ndio wangelimaliza lakini wameshindwa hadi wanaanza kuita mchezaji aliyepewa kadi.
TFF lazima wabadilike maana tunako elekea ni watu kususa kuingia uwanjani kabisa au timu kususia kushiriki kwa sababu ya uzembe wao wa wazi wazi....
Wasalaam
skaWana jf wasalaam.

Azam Media unataka kuwaonea bure kabisa.Mechi ya Kagera na African Lyon ilichezwa kwa ombi la African Lyon tarehe tofauti na ratiba ya Azam media kwa ombi maalumu. Azam kwa hili hawahusiki kabisa.Wana jf wasalaam.