Azam Media na TFF wamekuwa na mchango mkubwa wa kuvuruga soka letu na hii dhambi hawatoikwepa

Mkataba wa Azam na TFF unasema Azam TV lazima aonyeshe mechi zote,ni mechi ngapi ambazo zilihairishwa na bado zilionyeshwa na Azam TV
Nyingi tu Azam hawaonyeshi lakini naona watu wamekaa kimya, msimu ujao wapigwe chini tu wapewe DSTV
 
Sababu ya game ya Kagera kutoonyeshwa wanadai haikuwa kwenye ratiba sio hizo sababu unazoandika wewe,ni mechi ngapi hazikuwa kwenye ratiba na zimeonyeshwa ?

Kutokuwa kwenye ratiba kunatokana na hizo sababi hapo juu... Nilizo zitanabaisha!

Hawawezi wakaiweka game kaa ile kwenye ratiba yao wakati hapo hapo LaLiga Atletico anacheza na Sevilla.. Au APR anacheza na Marine FC.
 
Be serious mechi za Liga zinachezwa usiku sio mchana so hicho sio kisingizio hakina na sidhani kama kuna watanzania wamelipia Azam ili waangalie game za URA au PR
 
Kutokuwa kwenye ratiba kunatokana na hizo sababi hapo juu... Nilizo zitanabaisha!

Hawawezi wakaiweka game kaa ile kwenye ratiba yao wakati hapo hapo LaLiga Atletico anacheza na Sevilla.. Au APR anacheza na Marine FC.
huuu ndio utetezi wa kutokwenda hata kurekodi match husika?
 
Wana jf wasalaam.
Toka mwanzo wa saktata la card tatu za mchezaji wa kagera nimekuwa nikijiuliza ni nani walikuwa wana dhamana ya kuhakikisha wanaondoa utata kwenye swala hili? Lakini jibu lilikuja haraka kwamba ni TTF na Azam media...
Kuna maswali mengi watu hujiuliza ikiwa Azam media hawana uwezo wa kuonesha game zote za ligi kuu kwanini wapewe wao pekee dhamana ya kuonesha mechi zote na wanashindwa kuonesha mechi zot? Nilitegemea kuona makampuni zaidi ya kipewa tenda ya kuonesha ligi na wagawane match za kuonesha na hili ndio lingekuwa suluhu la maneno oooh match haikuoneshwa oooh match haikurekodiwa...

Katika hili mimi ndio naona pengine TFF ya malinzi inafanya makosa yanayopelekea kulivuruga soka letu na ninategemea kuwe na uwajibikaji maana ni wazi hili swala limefanywa kwa msalai yao binafsi....kulikuwa hakuna sababu ya kumpa mtu mmoja tenda ya kuonesha mpira ikiwa hatoonesha match zote.....kwanini asingelipewa mwingine? je ni yeye pekee aliomba tenda?

Leo sakata la card limefanya mpira wetu kuvurugika kabisa na kuzua sintofahamu wakati tulitegemea watu kama Azam media na TFF ndio wangelimaliza lakini wameshindwa hadi wanaanza kuita mchezaji aliyepewa kadi.

TFF lazima wabadilike maana tunako elekea ni watu kususa kuingia uwanjani kabisa au timu kususia kushiriki kwa sababu ya uzembe wao wa wazi wazi....

Wasalaam
Mimi nafikiri hapa tatizo tuwalaumu TFF kwa kuto kuwa na kumbukumbu... AZAM mpaka hapa walicho kifanya kwa soka letu Azam kwa pesa waliyo itoa ina endana na soka letu...

AZAM hawawezi kuonyesha mechi zote ikianfalia wana channel moja inayo rusha..tofauti na wenzetu wakuna Super sport au being sport hawa wana channel nyingi za michezo........

AZAM niwafanya biashara Kagera vs A.Lyon unakuta inagongana na mechi kama ya simba vs mbao... Lazima Azam watarusha mechi ya Simba kutokana na wingi wa watu watakao angali......
 
Wana jf wasalaam.
Toka mwanzo wa saktata la card tatu za mchezaji wa kagera nimekuwa nikijiuliza ni nani walikuwa wana dhamana ya kuhakikisha wanaondoa utata kwenye swala hili? Lakini jibu lilikuja haraka kwamba ni TTF na Azam media...
Kuna maswali mengi watu hujiuliza ikiwa Azam media hawana uwezo wa kuonesha game zote za ligi kuu kwanini wapewe wao pekee dhamana ya kuonesha mechi zote na wanashindwa kuonesha mechi zot? Nilitegemea kuona makampuni zaidi ya kipewa tenda ya kuonesha ligi na wagawane match za kuonesha na hili ndio lingekuwa suluhu la maneno oooh match haikuoneshwa oooh match haikurekodiwa...

Katika hili mimi ndio naona pengine TFF ya malinzi inafanya makosa yanayopelekea kulivuruga soka letu na ninategemea kuwe na uwajibikaji maana ni wazi hili swala limefanywa kwa msalai yao binafsi....kulikuwa hakuna sababu ya kumpa mtu mmoja tenda ya kuonesha mpira ikiwa hatoonesha match zote.....kwanini asingelipewa mwingine? je ni yeye pekee aliomba tenda?

Leo sakata la card limefanya mpira wetu kuvurugika kabisa na kuzua sintofahamu wakati tulitegemea watu kama Azam media na TFF ndio wangelimaliza lakini wameshindwa hadi wanaanza kuita mchezaji aliyepewa kadi.

TFF lazima wabadilike maana tunako elekea ni watu kususa kuingia uwanjani kabisa au timu kususia kushiriki kwa sababu ya uzembe wao wa wazi wazi....

Wasalaam
ska
Mnajiabisha wenyewe pamoja na kusajilia maproo bado mnataka matokea ya mezani
 
Azam Media unataka kuwaonea bure kabisa.Mechi ya Kagera na African Lyon ilichezwa kwa ombi la African Lyon tarehe tofauti na ratiba ya Azam media kwa ombi maalumu. Azam kwa hili hawahusiki kabisa.
 
Mleta mada tatizo umekuja na mhemuko kama mada zako za siasa juu ya upinzani! Mpira hauongozwi wala kuamuliwa kwa mihemko bali taratibu, kanuni na sheria. Juu ya suala hili kabla hata ya azam mtu wa kwanza hapo mwenye jibu sahihi ni mechi kamishina maana ndiye ana andaa lipoti ya mechi yoote tangu mwanzo hadi mwisho baada ya hapo ndipo tunaangalia mambo mengine ya kiushahidi. Kwangu naona wa kwanza kuuliza ni mechi kamishina.
 
Back
Top Bottom