DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Sijui ni mimi tu ila hili jambo limekuwa linanikwaza sana. Unakuta unaangalia moja ya channel za Azam wanasema ikifika muda fulani kuna kipindi fulani kinakuja.
Muda huo unafika na kupita ila kipindi hiko hakionyeshwi. Nini kinawakwamisha kufuata ratiba zenu?
Nimekaa hapa lisaa zima nimesubiri kwa hamu nikitegemea kuona kipindi kinachofuata walichosema ni makala ya Fainali ya CAF 1993. Muda umefika, wameanza makala ya Volleyball.