Azam Media, ratiba za vipindi vyenu haiendani na mnachoonyesha

DELETED ACCOUNT

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
9,805
Reaction score
15,476
Sijui ni mimi tu ila hili jambo limekuwa linanikwaza sana. Unakuta unaangalia moja ya channel za Azam wanasema ikifika muda fulani kuna kipindi fulani kinakuja.

Muda huo unafika na kupita ila kipindi hiko hakionyeshwi. Nini kinawakwamisha kufuata ratiba zenu?


Nimekaa hapa lisaa zima nimesubiri kwa hamu nikitegemea kuona kipindi kinachofuata walichosema ni makala ya Fainali ya CAF 1993. Muda umefika, wameanza makala ya Volleyball.
 
Huo mtindo wameanza hiv karbun hata mim siwaelew
 
Video hawana.

Wewe kolo meenye video ya kombe la mashudu abiola watumie wataonesha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…