rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
ivi naweza nunua decoda ya azam dish nikatumia la dstv?majibu tafadhali.
huu ndi uwekezajiwa tv uliotakiwa kufanywa toka mwanzo sio vitv vinajiita super brand halafu hawana chochote ila kama wanaweza kulipa bei ya kuonyesha laliga waongeze udhamini wao kwa ligi ya nyumbani ukeli wanawanyonya sana
Wooooow!!!hii ni habari njema sana kwangu mimi mpenzi wa la liga,dstv bye bye,nilikuwa bado natafakari hii 200,000 yao nitakuwa nailipaje.well done Azamtv.sasa nimeamini mmeamua na mmedhamiria kweli kumtimua beberu.