Kwa nini wakatane kwenye mshahara? Mwambie awekeze kwa kuwawezesha wapate elimu ama lah achukue wenye hizo experience.
Sisi walaji tunahitaji quality tu, sio kuweka cheap labor wasio zalisha vitu vyenye ubora. Kama mwajiri ahakikishe anaipa brand kampuni yake.