iyokichiku
Member
- Oct 30, 2023
- 36
- 70
Duh..Inaonesha wazi anayechukua picha ni mshabiki wa yanga Kama si mwanachama, kwani amerusha picha za yanga wakiwa chumba Cha kubadilishia zaidi ya ×10 wakati akirusha za Simba mara 1.
Hii haikubaliki amekuwa akifanya hivo mechi ya Simba na yanga, yaani anawaonyesha yanga mara nyingi, hata upande wa mashabiki ni hivohivo.
Nchi ya malamiko sana.Inaonesha wazi anayechukua picha ni mshabiki wa yanga Kama si mwanachama, kwani amerusha picha za yanga wakiwa chumba Cha kubadilishia zaidi ya ×10 wakati akirusha za Simba mara 1.
Hii haikubaliki amekuwa akifanya hivo mechi ya Simba na yanga, yaani anawaonyesha yanga mara nyingi, hata upande wa mashabiki ni hivohivo.