Azam mnafeli wapi uchukuaji picha derby ya Simba vs Yanga

iyokichiku

Member
Joined
Oct 30, 2023
Posts
36
Reaction score
70
Inaonesha wazi anayechukua picha ni mshabiki wa yanga Kama si mwanachama, kwani amerusha picha za yanga wakiwa chumba Cha kubadilishia zaidi ya ×10 wakati akirusha za Simba mara 1.

Hii haikubaliki amekuwa akifanya hivo mechi ya Simba na yanga, yaani anawaonyesha yanga mara nyingi, hata upande wa mashabiki ni hivohivo.
 
Mahaba Yana kuondolea akili kabisa yaani
 
Inaonesha wazi anayechukua picha ni mshabiki wa yanga Kama si mwanachama, kwani amerusha picha za yanga wakiwa chumba Cha kubadilishia zaidi ya ×10 wakati akirusha za Simba mara 1.

Hii haikubaliki amekuwa akifanya hivo mechi ya Simba na yanga, yaani anawaonyesha yanga mara nyingi, hata upande wa mashabiki ni hivohivo.
Duh..

Waulize Simba kwanini walifunga mlango...
Uchawii..
 
Inaonesha wazi anayechukua picha ni mshabiki wa yanga Kama si mwanachama, kwani amerusha picha za yanga wakiwa chumba Cha kubadilishia zaidi ya ×10 wakati akirusha za Simba mara 1.

Hii haikubaliki amekuwa akifanya hivo mechi ya Simba na yanga, yaani anawaonyesha yanga mara nyingi, hata upande wa mashabiki ni hivohivo.
Nchi ya malamiko sana.
Hiyo inapunguzia simba kitu gani?
Kuna point zinapungua mkuu?
 
Back
Top Bottom