Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Wakati wenzao wanahangaika kusajir wachezaj bora wao walihangaika show room kutafuta bas zur na kusajir TRAAzam wanabasi zuri tu [emoji23][emoji23]
Vipi huko kapigwa?Azam wanabasi zuri tu 😂😂
Wamepigwa 7 mkuuVipi huko kapigwa?
Aisee hii timu kweli majanga. Uwekezaji wote ule bado wana mbwela mbwelaWamepigwa 7 mkuu
Mgunda kashawamalizaVipi huko kapigwa?
Ila safi tuu wacha wazawa nao wang'ae bwana.Mgunda kashawamaliza
Azam ukiwaangalia kwenye mpira kama hawapo serious wapo kibiasharaWakati wenzao wanahangaika kusajir wachezaj bora wao walihangaika show room kutafuta bas zur na kusajir TRA
Saba ya penati au ndani ya dakika 90?Wamepigwa 7 mkuu
Saba ya penati au ndani ya dakika 90?
Taasisi yoyote ile ni watu sio vitu. Unaweza kuwa na majengo mazuri budget kubwa lakini kama huna watu sahihi ujue itakula kwako tuuCoastal wanalala gest ya buku tano kwa room ndio kambi yao,wanatumia min bus coaster mbovu inaharibika kila siku ila wamewapelekea moto azam,mzee bakhresa pesa aliyowekeza kwenye hiyo timu bira angeolea pisi kali yoka uarabuni .aliyegundua ice cream za ukwaju za axam ana akili kuliko viongozi wa azam fc
Jana uongozi wa azam ulikuwa kirumba kuangalia mechi ya simba na yanga wakaacha wazee wakina aggrey moris wakiwa ukiwa peke yao wanapigwa baridi ya arusha
Biashara gani wewe unafanya kama timu haiperformAzam ukiwaangalia kwenye mpira kama hawapo serious wapo kibiashara
yaani biashara ndo wanaweza ila kwa upande wa mpira hawapo serious ,mpira wamefanya kama siyo sehemu ya biasharaBiashara gani wewe unafanya kama timu haiperform
Coastal walikuwa wamalize mpira mapema! Refa kazingua.Hii coastal Union Uhakika,
Yule Vicent Aboubakar Mnoma sana
Yule Abdul khamis Suleiman Anastahiili jezi no 7 pale msimbazi,
Kitasa Yule bwana Aman Kyata Hatari sana,
Upande Wa Azam yule Cola na Muguna balaaa.
Coatal Na jezi zao zile walipendeza sana kuna mda nilijisahau nikadhani Azam wanacheza dhidi ya timu kutoka America kusini huko,
Penalty zinapigwa kwa uhakika mpaka raha Aisee,
Jumaa mgunda Kocha Wa kabumbu huyu kama Yule babu Wa Madrid,
Style yao wanayotumia kufundisha timu zao kucheza hua naiita "WHEREVER HAPPEN MAKE IT HAPPEN"
AU
HAKUNA KUKAA KIZEMBE.
Yaani we cheza, na Endelea kukaa kizembe na boli ila mwisho muda utaamua,
Nishakataa kushabikia Timu inayokaa na mpira muda wote,
Mpaka dakika 90 zinaisha Azam FC waliung'ang'ania sana mpira na kuupiga mwingi,
Coastal wao walijua wanachokitaka ndomana waliwasubiri,
Wao walipo upata waliweka kwenye njia na kuwakimbiza,
Bahati mbaya Coastal baadhi ya wachezaji hawana quality kivile ndomana mechi ilienda dakika 120,
Laiti kama kule mbele wachezaji 80% wangekua na ubora kama Sopu, na yule Abubakary, ice creams zingelambwa mapema tu.