Azam; Msihuzunike usajiri mzuri ni basi lenu

Azam; Msihuzunike usajiri mzuri ni basi lenu

Peramiho yetu

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2018
Posts
5,303
Reaction score
14,983
Wachezaj na viongoz wa timu tajwa hapo juu msimu huu mlisajiri vizuri chombo chenu Cha usafiri na hii iliwafanya msafiri kwa raha Sana Tena mno na hamkusajir uwanjani kwasababu hakikuwa kipaumbele chenu

Wachezaj na viongoz mme enjoy Sana kwa safar za ndege ya ardhini IRIZAR Kama ya Real Madrid.

Si mmeona wenzenu jana pale Paris walisajir bas na wachezaji ninyi mkasajir ndege ya ardhn TRA

YOTE KWA YOTE HONGERENI NUSU FAINALI SI HABA
 
Coastal wanalala gest ya buku tano kwa room ndio kambi yao,wanatumia min bus coaster mbovu inaharibika kila siku ila wamewapelekea moto azam.

Mzee bakhresa pesa aliyowekeza kwenye hiyo timu bira angeolea pisi kali yoka uarabuni .aliyegundua ice cream za ukwaju za axam ana akili kuliko viongozi wa azam fc.

Jana uongozi wa azam ulikuwa kirumba kuangalia mechi ya simba na yanga wakaacha wazee wakina aggrey moris wakiwa ukiwa peke yao wanapigwa baridi ya arusha
 
Hii coastal Union Uhakika,

Yule Vicent Aboubakar Mnoma sana

Yule Abdul khamis Suleiman Anastahiili jezi no 7 pale msimbazi,

Kitasa Yule bwana Aman Kyata Hatari sana,

Upande Wa Azam yule Cola na Muguna balaaa.

Coatal Na jezi zao zile walipendeza sana kuna mda nilijisahau nikadhani Azam wanacheza dhidi ya timu kutoka America kusini huko,

Penalty zinapigwa kwa uhakika mpaka raha Aisee,

Jumaa mgunda Kocha Wa kabumbu huyu kama Yule babu Wa Madrid,

Style yao wanayotumia kufundisha timu zao kucheza hua naiita "WHEREVER HAPPEN MAKE IT HAPPEN"

AU

HAKUNA KUKAA KIZEMBE.

Yaani we cheza, na Endelea kukaa kizembe na boli ila mwisho muda utaamua,

Nishakataa kushabikia Timu inayokaa na mpira muda wote,

Mpaka dakika 90 zinaisha Azam FC waliung'ang'ania sana mpira na kuupiga mwingi,

Coastal wao walijua wanachokitaka ndomana waliwasubiri,

Wao walipo upata waliweka kwenye njia na kuwakimbiza,

Bahati mbaya Coastal baadhi ya wachezaji hawana quality kivile ndomana mechi ilienda dakika 120,

Laiti kama kule mbele wachezaji 80% wangekua na ubora kama Sopu, na yule Abubakary, ice creams zingelambwa mapema tu.
 
Coastal wanalala gest ya buku tano kwa room ndio kambi yao,wanatumia min bus coaster mbovu inaharibika kila siku ila wamewapelekea moto azam,mzee bakhresa pesa aliyowekeza kwenye hiyo timu bira angeolea pisi kali yoka uarabuni .aliyegundua ice cream za ukwaju za axam ana akili kuliko viongozi wa azam fc
Jana uongozi wa azam ulikuwa kirumba kuangalia mechi ya simba na yanga wakaacha wazee wakina aggrey moris wakiwa ukiwa peke yao wanapigwa baridi ya arusha
Taasisi yoyote ile ni watu sio vitu. Unaweza kuwa na majengo mazuri budget kubwa lakini kama huna watu sahihi ujue itakula kwako tuu
 
Hii coastal Union Uhakika,

Yule Vicent Aboubakar Mnoma sana

Yule Abdul khamis Suleiman Anastahiili jezi no 7 pale msimbazi,

Kitasa Yule bwana Aman Kyata Hatari sana,

Upande Wa Azam yule Cola na Muguna balaaa.

Coatal Na jezi zao zile walipendeza sana kuna mda nilijisahau nikadhani Azam wanacheza dhidi ya timu kutoka America kusini huko,

Penalty zinapigwa kwa uhakika mpaka raha Aisee,

Jumaa mgunda Kocha Wa kabumbu huyu kama Yule babu Wa Madrid,

Style yao wanayotumia kufundisha timu zao kucheza hua naiita "WHEREVER HAPPEN MAKE IT HAPPEN"

AU

HAKUNA KUKAA KIZEMBE.

Yaani we cheza, na Endelea kukaa kizembe na boli ila mwisho muda utaamua,

Nishakataa kushabikia Timu inayokaa na mpira muda wote,

Mpaka dakika 90 zinaisha Azam FC waliung'ang'ania sana mpira na kuupiga mwingi,

Coastal wao walijua wanachokitaka ndomana waliwasubiri,

Wao walipo upata waliweka kwenye njia na kuwakimbiza,

Bahati mbaya Coastal baadhi ya wachezaji hawana quality kivile ndomana mechi ilienda dakika 120,

Laiti kama kule mbele wachezaji 80% wangekua na ubora kama Sopu, na yule Abubakary, ice creams zingelambwa mapema tu.
Coastal walikuwa wamalize mpira mapema! Refa kazingua.
 
Wachezaji wa azam wana vitambi wote sijui wanalala na madumu ya ukwaju wale jamaa.
 
Azam sijui wapewe nini! Wana kila kitu. Ila wakija uwanjani sasa, wanarukaruka tu.
 
Back
Top Bottom