Azam msimlaumu mtu, mmewakaribisha Yanga Chamazi uwanja umeshaoza huo, na bado

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Uwanja wa Chamazi sio mali yenu tena, mliowakaribisha hadi jikoni wameshauharibu uwanja huo, ndio maana wenzenu wameuchagua uwanja wa chamazi kama home ground, yaani Yanga wacheze uwanja wa chamazi washinde halafu nyie muondolewe mashindanoni, hamshtuki tu.

Uwanja wenu kwa taarifa yenu waganga wao wameshauchukua na kesho asbh wataurudisha baada ya kuuchezea mchezo mchafu, nyie Leo mlikuwa mnacheza kwenye uwanja wao wa kigamboni.

Hao mliowakaribisha chamazi kuutumia uwanja wenu watawaponza nawaambia, wameshaufanya uwanja huo kuwa mali yao.Wanajua wapi pa kutupa hirizi wap pa kuacha.

Kazi kwenu.
 
yanga anajua sana.

yanga anafanya mpira kuonekana rahisi na ni uchawi

Yanga kiukweli anajua sana.
 
Uwanja wa Chamazi sio mali yenu tena, mliowakaribisha hadi jikoni wameshauharibu uwanja huo, ndio maana wenzenu wameuchagua uwanja wa chamazi kama home ground...
Kama uchawi ungekua unacheza, Simba angekua bingwa wa mashindani yanayo andaliwa na Caf.
Maana Simba ndio timu iliyo thibitishwa na Caf kama klabu kinara wa ushirikina barani Afrika.
 
Kwa heshima ya Legend Magufuli naomba ubadili hiyo ID yako ewe MBUMBUMBU
 
We mbumbumbu unawezaje kuandika utumbo wa namna hii, zero kabisa
 
Kama uchawi ungekua unacheza, Simba angekua bingwa wa mashindani yanayo andaliwa na Caf.
Maana Simba ndio timu iliyo thibitishwa na Caf kama klabu kinara wa ushirikina barani Afrika.
Dooh wat a punch [emoji109] [emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…