Azam msimlaumu mtu, mmewakaribisha Yanga Chamazi uwanja umeshaoza huo, na bado

Uwanja wa Chamazi sio mali yenu tena, mliowakaribisha hadi jikoni wameshauharibu uwanja huo, ndio maana wenzenu wameuchagua uwanja wa chamazi kama home ground, yaani Yanga wacheze uwanja wa chamazi washinde halafu nyie muondolewe mashindanoni, hamshtuki tu.

Uwanja wenu kwa taarifa yenu waganga wao wameshauchukua na kesho asbh wataurudisha baada ya kuuchezea mchezo mchafu, nyie Leo mlikuwa mnacheza kwenye uwanja wao wa kigamboni.

Hao mliowakaribisha chamazi kuutumia uwanja wenu watawaponza nawaambia, wameshaufanya uwanja huo kuwa mali yao.Wanajua wapi pa kutupa hirizi wap pa kuacha.

Kazi kwenu.
Ukiona mtu anaisifia sana mvua basi tambua kuwa imemmyeshea kama siyo kumnyea. Aidha ukiona mtu ana mtizamo wa kiushirikina katika masuala yenye uhalisia wa kiufundi na kiutaalamu, basi tambua kuwa huyo ni mlozi kama walozi wengine.
 
Uwanja wa Chamazi sio mali yenu tena, mliowakaribisha hadi jikoni wameshauharibu uwanja huo, ndio maana wenzenu wameuchagua uwanja wa chamazi kama home ground, yaani Yanga wacheze uwanja wa chamazi washinde halafu nyie muondolewe mashindanoni, hamshtuki tu.

Uwanja wenu kwa taarifa yenu waganga wao wameshauchukua na kesho asbh wataurudisha baada ya kuuchezea mchezo mchafu, nyie Leo mlikuwa mnacheza kwenye uwanja wao wa kigamboni.

Hao mliowakaribisha chamazi kuutumia uwanja wenu watawaponza nawaambia, wameshaufanya uwanja huo kuwa mali yao.Wanajua wapi pa kutupa hirizi wap pa kuacha.

Kazi kwenu.

Hili ndo Taifa la kesho
 
ukiachana na ushirikina na wanawake wazee kitu gan kingine unaweza?
Kingine anachoweza mleta mada Ni kuvaa viatu ambavyo vimeshatoka kwenye rangi yake nyeusi na kua ya kijivu uku akipenda kuamkia kwenye kahawa..
 
Nyie Ma utopwox mbona mnapanic?.au wanga kweli nini?
Mlivyokosa aibu kule tanga mkaenda kuvunja nazi mbele ya bank ili mshinde ile fainali eti masharti ya mganga,nilishangaa sana zile penalti walizopiga wachezaji wa Yanga ila baada ya kuangalia hii clip nikajua tatizo lilipoanzia,makolo mmetanguliza sana uchawi ndio maana hadi wachezaji wenu wanarogana
 
Attachments

  • VID-20230814-WA0031.mp4
    2 MB
Mtoa maada hana budi kwenda hospital, Azam msimu uliopita waliishia hatua gani? Ni lini Azam amewahi kufuzu makundi? Aibu hii
 
Uwanja wa Chamazi sio mali yenu tena, mliowakaribisha hadi jikoni wameshauharibu uwanja huo, ndio maana wenzenu wameuchagua uwanja wa chamazi kama home ground, yaani Yanga wacheze uwanja wa chamazi washinde halafu nyie muondolewe mashindanoni, hamshtuki tu.

Uwanja wenu kwa taarifa yenu waganga wao wameshauchukua na kesho asbh wataurudisha baada ya kuuchezea mchezo mchafu, nyie Leo mlikuwa mnacheza kwenye uwanja wao wa kigamboni.

Hao mliowakaribisha chamazi kuutumia uwanja wenu watawaponza nawaambia, wameshaufanya uwanja huo kuwa mali yao.Wanajua wapi pa kutupa hirizi wap pa kuacha.

Kazi kwenu.
Kenge wewe
 
Walifanya vizuri sana wa missionaries na waarabu kutuletea imani zao sisi waafrika maana bila hivyo tungeuana sana fikiria vita vya maji maji tu walivyokufa kizembe babu zetu
Mbona Ukristo umeua watu huko Kenya na kuzikwa katika makaburi ya halaiki? Waumini wa mwamposa walikufa katika stampede wakienda kukanyaga mafuta ya uongo ya upako??
 
Huo ndio ukweli. Uto bila kuroga hawajaingia uwanjani. Tena kwa mechi kama hizi kila tawi linatafuta mganga
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Uwanja wa Chamazi sio mali yenu tena, mliowakaribisha hadi jikoni wameshauharibu uwanja huo, ndio maana wenzenu wameuchagua uwanja wa chamazi kama home ground, yaani Yanga wacheze uwanja wa chamazi washinde halafu nyie muondolewe mashindanoni, hamshtuki tu.

Uwanja wenu kwa taarifa yenu waganga wao wameshauchukua na kesho asbh wataurudisha baada ya kuuchezea mchezo mchafu, nyie Leo mlikuwa mnacheza kwenye uwanja wao wa kigamboni.

Hao mliowakaribisha chamazi kuutumia uwanja wenu watawaponza nawaambia, wameshaufanya uwanja huo kuwa mali yao.Wanajua wapi pa kutupa hirizi wap pa kuacha.

Kazi kwenu.
Thibitisha
 
UTOPOLO wanafurahisha sana.Malalamiko na visingizio huwa vinaisha wakishinda mechi moja.Wakigongwa tu utasikia TFF na Bodi ya ligi wana maelekezo.Kumbukumbu yao inayofanya kazi kama kifurushi cha wiki.
 
Uwanja wa Chamazi sio mali yenu tena, mliowakaribisha hadi jikoni wameshauharibu uwanja huo, ndio maana wenzenu wameuchagua uwanja wa chamazi kama home ground, yaani Yanga wacheze uwanja wa chamazi washinde halafu nyie muondolewe mashindanoni, hamshtuki tu.

Uwanja wenu kwa taarifa yenu waganga wao wameshauchukua na kesho asbh wataurudisha baada ya kuuchezea mchezo mchafu, nyie Leo mlikuwa mnacheza kwenye uwanja wao wa kigamboni.

Hao mliowakaribisha chamazi kuutumia uwanja wenu watawaponza nawaambia, wameshaufanya uwanja huo kuwa mali yao.Wanajua wapi pa kutupa hirizi wap pa kuacha.

Kazi kwenu.
Hakika Rage hakukosea kuwaita MBUMBUMBU FC
 
Mlivyokosa aibu kule tanga mkaenda kuvunja nazi mbele ya bank ili mshinde ile fainali eti masharti ya mganga,nilishangaa sana zile penalti walizopiga wachezaji wa Yanga ila baada ya kuangalia hii clip nikajua tatizo lilipoanzia,makolo mmetanguliza sana uchawi ndio maana hadi wachezaji wenu wanarogana
Hahahaaa mwaka huu tutawaloga mpk mtembee uchi uwanjani...
 
Uwanja wa Chamazi sio mali yenu tena, mliowakaribisha hadi jikoni wameshauharibu uwanja huo, ndio maana wenzenu wameuchagua uwanja wa chamazi kama home ground, yaani Yanga wacheze uwanja wa chamazi washinde halafu nyie muondolewe mashindanoni, hamshtuki tu.

Uwanja wenu kwa taarifa yenu waganga wao wameshauchukua na kesho asbh wataurudisha baada ya kuuchezea mchezo mchafu, nyie Leo mlikuwa mnacheza kwenye uwanja wao wa kigamboni.

Hao mliowakaribisha chamazi kuutumia uwanja wenu watawaponza nawaambia, wameshaufanya uwanja huo kuwa mali yao.Wanajua wapi pa kutupa hirizi wap pa kuacha.

Kazi kwenu.
Aisee tutafika tumechoka sana.
 
Back
Top Bottom