Uwanja wa Chamazi sio mali yenu tena, mliowakaribisha hadi jikoni wameshauharibu uwanja huo, ndio maana wenzenu wameuchagua uwanja wa chamazi kama home ground, yaani Yanga wacheze uwanja wa chamazi washinde halafu nyie muondolewe mashindanoni, hamshtuki tu.
Uwanja wenu kwa taarifa yenu waganga wao wameshauchukua na kesho asbh wataurudisha baada ya kuuchezea mchezo mchafu, nyie Leo mlikuwa mnacheza kwenye uwanja wao wa kigamboni.
Hao mliowakaribisha chamazi kuutumia uwanja wenu watawaponza nawaambia, wameshaufanya uwanja huo kuwa mali yao.Wanajua wapi pa kutupa hirizi wap pa kuacha.
Kazi kwenu.