Azam na habari ya saa mbili haitangazi matukio muhimu ya Serikali

Nimeangalia headlines ya Azam leo tarehe 25 Julai 2024 kwenye UTV ambapo leo kulikuwa na issue kubwa ya RAIS kuadhimisha siku ya Mashujaa, habari hiyo haikuwa kwenye headline.

Kulikuwa na Treni ya kisasa ya Umeme ya SGR kufanya safari yake kutoka Dar hadi Dodoma lakini habari hiyo haikuwa kwenye Headline ya UTV ya Azam.

Azam hawapendi haya maendeleo yanayofanywa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suhulu Hassan? Mbona ITV wamefanya coverage japo kwa muda mchache?

UTV inaonekana vizuri sana ila habari zao hazioneshi matukio makubwa. Editor ajitazame.
TBC wakitangaza inatosha!
Ila UKWELI natamani siku itokee media ya kuhoji na kuchambua miradi ya ccm ili tuone kama Ina "value for money"!
Na ashirikishwe Luhaga Mpina katika chambuzi hizo!
 
Wadau mnanishambulia ila sina nia ya kuwa chawa, ila Azam kama watapita hapa inabidi waelewe, Yaani mnataka kusema kuanza kwa train ya kisasa ya umeme sio habari kubwa!!?

Walikuja kuionesha ila kwenye habari ya sita au saba huko...habari ya kwanza ilikuwa ni ukosefu wa walimu wa primary hiyo wameicover sana.

Train ya umeme ambayo ni ya kwanza afrika mashariki mnasema siyo relevant??
 
Nimeangalia headlines ya Azam leo tarehe 25 Julai 2024 kwenye UTV ambapo leo kulikuwa na issue kubwa ya RAIS kuadhimisha siku ya Mashujaa, habari hiyo haikuwa kwenye headline.

Kulikuwa na Treni ya kisasa ya Umeme ya SGR kufanya safari yake kutoka Dar hadi Dodoma lakini habari hiyo haikuwa kwenye Headline ya UTV ya Azam.

Azam hawapendi haya maendeleo yanayofanywa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suhulu Hassan? Mbona ITV wamefanya coverage japo kwa muda mchache?

UTV inaonekana vizuri sana ila habari zao hazioneshi matukio makubwa. Editor ajitazame.
Dalili za kuwa mchawi
 
Uzuri zaidi huwezi kuwafanya chochote. Azam wamewaachia tbccm waendelee na mambo yao.
 
Wadau mnanishambulia ila sina nia ya kuwa chawa, ila Azam kama watapita hapa inabidi waelewe, Yaani mnataka kusema kuanza kwa train ya kisasa ya umeme sio habari kubwa!!?

Walikuja kuionesha ila kwenye habari ya sita au saba huko...habari ya kwanza ilikuwa ni ukosefu wa walimu wa primary hiyo wameicover sana.

Train ya umeme ambayo ni ya kwanza afrika mashariki mnasema siyo relevant??
Kwahiyo kwako wewe ukosefu wa walimu umeona ni habari ndogo sana kwako?
 
hizo habari zishapitwa na wakati sio za kutangazwa 2024, eti umekaa unatangaza treni ya umeme imeanza kazi hamuoni kuna kaushamba fulani hivi??
 
Wadau mnanishambulia ila sina nia ya kuwa chawa, ila Azam kama watapita hapa inabidi waelewe, Yaani mnataka kusema kuanza kwa train ya kisasa ya umeme sio habari kubwa!!?

Walikuja kuionesha ila kwenye habari ya sita au saba huko...habari ya kwanza ilikuwa ni ukosefu wa walimu wa primary hiyo wameicover sana.

Train ya umeme ambayo ni ya kwanza afrika mashariki mnasema siyo relevant??
wewe ndio upime sasa hapo ipi habari kubwa yenye tija kwa taifa
 
Sasa kosa la editor hapo ni lipi 😂

Anyway, kitendo cha ww kujua kuwa rais yupo huko kwa mashujaa na mambo ya SGR bc inatosha au ww unataka uangalie marudio?
 
Nimeangalia headlines ya Azam leo tarehe 25 Julai 2024 kwenye UTV ambapo leo kulikuwa na issue kubwa ya RAIS kuadhimisha siku ya Mashujaa, habari hiyo haikuwa kwenye headline.

Kulikuwa na Treni ya kisasa ya Umeme ya SGR kufanya safari yake kutoka Dar hadi Dodoma lakini habari hiyo haikuwa kwenye Headline ya UTV ya Azam.

Azam hawapendi haya maendeleo yanayofanywa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suhulu Hassan? Mbona ITV wamefanya coverage japo kwa muda mchache?

UTV inaonekana vizuri sana ila habari zao hazioneshi matukio makubwa. Editor ajitazame.
Ramli chonganishi hizo mkuu.

Azam matukio ya serikali yanarusha Live.
 
ITV ndio Kila kitu,, Azam hawatoi habari za ndanindani, wanapenda matukio makubwa sana na yanayotokea Dar
 
Nimeangalia headlines ya Azam leo tarehe 25 Julai 2024 kwenye UTV ambapo leo kulikuwa na issue kubwa ya RAIS kuadhimisha siku ya Mashujaa, habari hiyo haikuwa kwenye headline.

Kulikuwa na Treni ya kisasa ya Umeme ya SGR kufanya safari yake kutoka Dar hadi Dodoma lakini habari hiyo haikuwa kwenye Headline ya UTV ya Azam.

Azam hawapendi haya maendeleo yanayofanywa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suhulu Hassan? Mbona ITV wamefanya coverage japo kwa muda mchache?

UTV inaonekana vizuri sana ila habari zao hazioneshi matukio makubwa. Editor ajitazame.
Kaangalie TBC mkuu.
 
Kungekuwa na Mashindano ya Kaswida Tandale wangeonesha!
 
Ipo tbc, channel ten, uhuru fm na Ccm media kwa ajili yako mkuu.
 
Vyombo vya habari ni vingi sana nchini,,,siyo vyema vyote vitangaze habari mmoja UTV wapo vizuri Sana mimi ndo chaneli pendwa pamoja na ITV
 
Ni kweli mkuu hata mimi nimekiri taarifa waliitoa isipokuwa hawazingatii ni ipi habari kubwa...yaani Headlines.

Kama umesomea habari kuna jinsi ya kuweka kipi kianze kwenye Headlines.

-Issue ya SGR Dar-DOm ishatangazwa zaidi ya miezi miwili ,watu wote wanajua kwamba itazinduliwa hiyo siku ,kwahiyo siyo ya kuweka kwenye headline.
 
Back
Top Bottom