Ndio jf ni biashara ya mtu na ndio maana unafuata masharti yao ukienda kinyume na masharti yao unapigwa ban.Kumbuka hata jamiiforum ni biashara ya mtu! Unaweza kujifanya mjuaji kumbe ndo lyapukile kabsa
Kwakuwa Azam hawjasema hayo ila ni wewe mwenyewe umefikiria hivyo basi komaa na mawazo yako ukipata jibu mpelekee TIDO.
Swala halikuwa dini ila nembo ya biashara nyingjne wakati wao ndio wamebeba lile pambano lote kama wadhamini.
Ndio jf ni biashara ya mtu na ndio maana unafuata masharti yao ukienda kinyume na masharti yao unapigwa ban.
Kwahiyo kama jf ilivyo biashara ya mtu na ameiwekea mashariti basi na azam wana haki ya kuweka masharti wanayo yaona ni sawa kwao na si kwako.
Mbona Simba na Yanga huwa wanavaa nembo ya sportpesa na wanaonyesha mechi zao km ishu ni maslahi.Acha kukurupuka use your brain ndugu
Acha kubishana bila sababu za msingi kama kitu huna taarifa nacho za kutosha nakuja na maelezo mengi yasiyo na maana........ Peleka matangazo yako ya Kamari pale uone kitakachotokeaWalisema Wapi? Acheni kupotosha.
La Liga Santander ina timu kibao zinadhaminiwa na Makampuni ya betting, mbona wanaonyesha? Issue ni hiyo tu kua ukionyesha biashara ya mtu akulipe basi.
Lakini hili swala lilifaa lijadiliwe na kukubaliana kabla ya hata ya kusainisha contract. Mwakyinyo anasema Sportpesa ni wadhamini wake, Sasa utakataaje wadhamini dakika ya mwisho? Isitoshe pia biashara ya Azam haifanani na biashara ya Sportpesa, huwezi kukataa.
Au Mwakyinyo hakuwaambia Azam kua yeye anadhaminiwa na Sportpesa?
Wewe ndio umekurupuka, Simba na Yanga wanacheza ligi iliyodhaminiwa na vodacom, Sportpesa sio mdhamini wa ligi ni mdhamini binafsi wa vilabu hivyo, jukumu la Azam ni kuonyesha mechi na sio kuvidhamini hivi vilabu au ligi yenyewe.Mbona Simba na Yanga huwa wanavaa nembo ya sportpesa na wanaonyesha mechi zao km ishu ni maslahi.Acha kukurupuka use your brain ndugu
Umeongea point kalii sanaa. Jamaa kakurupuka uko baada ya kula viporo vyakeWewe ndio umekurupuka, Simba na Yanga wanacheza ligi iliyodhaminiwa na vodacom, Sportpesa sio mdhamini wa ligi ni mdhamini binafsi wa vilabu hivyo, jukumu la Azam ni kuonyesha mechi na sio kuvidhamini hivi vilabu au ligi yenyewe.
Sasa hutumii akili tu kuwa pambano lile lilibebwa na Azam kwakuwa pambano lenyewe halikuwa la ubingwa ni ridhaa tu kwahiyo Azam alikuwa na uwezo wa kuamua nini avae au asivae.
Halafu ukitumia akili zako utaona hata bukta yake ilikuwa na nembo hiyo kwahiyo muulize aliyetoa post kwanini alifikiri ni swala la dini?
Wewe unajibu kwa kutumia hisia, sio akili. Hakuna matangazo ya La Liga Santander yanayorushwagwa Azam TV yenye makampuni ya Kamari?Acha kubishana bila sababu za msingi kama kitu huna taarifa nacho za kutosha nakuja na maelezo mengi yasiyo na maana........ Peleka matangazo yako ya Kamari pale uone kitakachotokea
Wewe ndio umekurupuka, Simba na Yanga wanacheza ligi iliyodhaminiwa na vodacom, Sportpesa sio mdhamini wa ligi ni mdhamini binafsi wa vilabu hivyo, jukumu la Azam ni kuonyesha mechi na sio kuvidhamini hivi vilabu au ligi yenyewe.
Sasa hutumii akili tu kuwa pambano lile lilibebwa na Azam kwakuwa pambano lenyewe halikuwa la ubingwa ni ridhaa tu kwahiyo Azam alikuwa na uwezo wa kuamua nini avae au asivae.
Halafu ukitumia akili zako utaona hata bukta yake ilikuwa na nembo hiyo kwahiyo muulize aliyetoa post kwanini alifikiri ni swala la dini?
Ngoja nikuache mkuu maana unatumia nguvu nyingi sana bila sababuWewe unajibu kwa kutumia hisia, sio akili. Hakuna matangazo ya La Liga Santander yanayorushwagwa Azam TV yenye makampuni ya Kamari?
Au Simba, Yanga, etc zinazodhaminiwa na Sportpesa hazionyeshwagi Azam TV?