Azam naona imejipata Kipre Junior on fire

Azam naona imejipata Kipre Junior on fire

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,600
Reaction score
10,760
Msijifanye hamjaona walichokifanya AZAM uko chamanzi aisee Mimi nmeshangaa mbona alikuwa anaanzia bechi

Kwakweli Azam wamejipata team ambazo hazijacheza na AZAM mjipange sana KIPRE JUNIOR aisee uyo mtoto anajua adi anajua tena keshapiga hatrick na goal Bora la msimu

SIMBA MJIANDAE KUKUNWA KUNAKO
 
Jr
IMG_20231124_204725.jpg
 
Azam wamejipata, wanashinda na bado wanaonekana wana njaa ya ushindi,
Zamani walikuwa wakifunga moja wana relax, saizi wanakupiga 3 na wanakusaka
 
Azam wamejipata, wanashinda na bado wanaonekana wana njaa ya ushindi,
Zamani walikuwa wakifunga moja wana relax, saizi wanakupiga 3 na wanakusaka
Hakika umenena
 
Azam wamejipata, wanashinda na bado wanaonekana wana njaa ya ushindi,
Zamani walikuwa wakifunga moja wana relax, saizi wanakupiga 3 na wanakusaka
Bado kocha wao yupo?
 
Azam huwa inatafuta kipi ligi kuu tofauti na kuibania Simba huku akiishia kuitafuta shirikisho kwa mbinde?.
Nyie mbona mnamuachiaga yanga anawala mbele na nyuma?
 
Kwa mpira wa nchi hii Azam atabaki kuwasindikiza wakongwe wa Kariakoo tu.
 
Back
Top Bottom