Azam ni kama wameshindwa kazi ya kurusha matangazo ya mpira

Azam ni kama wameshindwa kazi ya kurusha matangazo ya mpira

inawezekana hujui masuala ya utangazaji wa mpira kwa tv,standard ya kutangaza mpira kwa televisheni ni kamera 7 kila mechi na azam wanatumia kamera 7 kila mechi sasa sijakuelewa tatizo lako ni lipi
Yahya Mohamed ni kweli huwa mnaweka camera 7 kwa viwanja vyetu hivi?
 
Azam wanaonekana hivyo daily shida umeangalia Afcon ikiisha utaona wako poa
WATU WA CAF KUPITIA NEW WORLDD SPORT WAMEJITAIDI AFCON HATA MATANGAZO WANAYOUZIA HIVI VISIMBUZI VYETU YANAÓNEKA VYEMA HAPO NDIPO ÀZAM WANATKIWA KUIGA SIO MAMBO MENGI
 
Back
Top Bottom