inawezekana hujui masuala ya utangazaji wa mpira kwa tv,standard ya kutangaza mpira kwa televisheni ni kamera 7 kila mechi na azam wanatumia kamera 7 kila mechi sasa sijakuelewa tatizo lako ni lipi
WATU WA CAF KUPITIA NEW WORLDD SPORT WAMEJITAIDI AFCON HATA MATANGAZO WANAYOUZIA HIVI VISIMBUZI VYETU YANAÓNEKA VYEMA HAPO NDIPO ÀZAM WANATKIWA KUIGA SIO MAMBO MENGI